sociedad na granada walikuwa na 6.72% hivyo basi uwezekano ulikuwa ni mkubwa sana japokuwa si kila muda inatokezea kweli. mfano arsenal anacheza na benfica mwenye 6.61% haliyakuwa wengineo wamegonga 7%.
wale walio ombeya tucheze na molde waanze kuimba wimbo wa ole mitatu tena.
Kwanini watu wa Netherlands wameongea negative sana juu ya usajili wa Donny ambaye kapata nafasi kwa haraka zaidi United kuliko ilivyokuwa kwa Mathis Delight ambaye hakupata nafasi sana pale Juventus msimu wake wa kwanza ?
Tatizo siyo majina makubwa ila kipindi cha kwanza unauchapa khalafu cha pili ndiyo unakuja juu wakati biashara ni asubuhi na yule Adnan Januzaj ana usongo nasi lazima afunge

Kiutani utani mara top 4,mara top 2 mara ubingwa ,maake hakuna timu epl inayoweza sema ipo vizuri.
Kama liva anadraw na fulham bas tuwe na hope anything can happen