Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★ Marco Verratti speaking ahead of Man Utd game: "Controlled match last time we came to OT. We knew how they were going to play. We can’t be afraid to play our football. Man Utd are a top team with wonderful players.".★

#GGMU

manutd |
 
Tukimfunga PSG leo itakuwa salamu kwa wenzetu kwamba Wasituchukulie poa.....Kama ndoto hivi ila kwa mbaaaaaaaaaaali, yaaan ileee mbaaali, kuna sauti za makelele ya shangwe na fujo za wanajukwaa baada ya ushindi wa Man United dhidi ya Bayern Munchen final msimu huu....The second coming of 1999

Msinipige Mawe
 
Ngoja gem iishe mawe muhimu mkuu
 
Ni vizuri kuota mambo makubwa

"Lile varangati la 99 linaanza upyaaaaaaaaa,linaanza upya"..Kwa sauti ya former MP,bwana Bwege
 
Ndoto nzuri sana, unamtumia PSG kama kipimo cha ubora!

Kipimo cha kwanza, jiulize hawa ambao uko nao ligi moja ikatokea ukakutana nao robo au nusu utatoboa?

i.e Chelsea, Man City na Liverpool, nani unadhani ni rahisi kumtoa ikitokea mkakutana.
 
Bora mkutane na city kwan Chelsea atawanyoosha mpaka mpoteane hapo OT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…