Leo kama Martial hayupo nilitegemea cavani angeanza kati then Rash na greenwood watokee pembeni angalau tungefanya kitu ila huu utopolo aloingia nao sijui tu.
Kocha wa timu yetu ni mpumbavu kweli kweli kila anapojaribu kumpanga greenwood na kuacha watu wa maana bench huwa anapata aibu cavan ni bora sana au ighalo kwa greenwood nguvu na hata umiliki wa mpira

cavani angefanya nini pale? kila siku nawaambia humu Man united bila martial mbele hatufanyi kitu,
amekosa mechi 4 za ligi, tumeshinda 1 tu, tena na newcastle, amerudi tumeshinda mfululizo mara 3, leo hayupo mambo yanaendelea.
si Greenwood ama Cavani ambaye anaweza fanya Deep completion kule mbele, Martial japo amemiss mechi zaidi ya 4 za ligi, ndio striker anayeongoza kwa deep completion, more than any other player ligi nzima.
kama twitter yako haijafungiwa angalia hapa
wote cavani na greenwood hawana uwezo wa kuhold mpira na ku operate kwenye tight space na kutoa pasi ama nafasi wengine waweze kuzitumia.