Kama unavoinamgaInama kwanza
Labda aanze naye kama no.9 na tushinde comfortably..tofauti na hapo,,aloooHuyu Ole akitaka kututibua leo aanze na Martial as a no.9
Na mimi naomba namba za Solsljaer mkuu niwe nabonga naye 😁 ila kuhusu Cavani hajakusikiliza.My starting XI vs Southampton
De Gea
AWB Lindelof Maguire Telles
Fred Matic VdB
Bruno
Rashford Cavani
Ole amesema Scott ana injury..so mimi ningetembea hivi kesho