D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Hahaha watu wanaangalia results tu na siyo factors zingine.I doubt Combo ya fred na Vdb kama inaweza kucheza Epl, unless ni timu ndogo zisizokuwa na Midfield nzuri, mechi ya Juzi walikuwa wanapitika kirahisi sana.
Yaani bado unataka usajili midfield ?Tuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..
Big match tunaweza kuanza na McFred strategically..lakini hizi burnley,fulham,n.k embu tucheze na hii mido combo tuone aisee
Hata mbeleni ningependa tuwe na Middle atleast wawili wanaoweza kuwa too offensive na mmoja wao kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba pia..For the meantime tuipe chansi Fred,VdB na Bruno tuone
Paul Pogba kapata ankle tena sijui atakaa nje kwa muda ganini kutokana na tabia yake ya kupenda kujaribu jambo gumu bila ya kujali position aliopo, hata mimi mwanzoni nilikuwa nachukizwa na tabia yake.
nimejifunza ni bora bruno anayepiga pasi kwa adui kuliko bwana midfield anayetamba na square pass
Bruno anafanya anachotakiwa kukifanya uwanjani binafsi huwa sipendi uchezaji wa English midfielders wengi wa kupiga square passes nyingi ili wamaintain possession.ni kutokana na tabia yake ya kupenda kujaribu jambo gumu bila ya kujali position aliopo, hata mimi mwanzoni nilikuwa nachukizwa na tabia yake.
nimejifunza ni bora bruno anayepiga pasi kwa adui kuliko bwana midfield anayetamba na square pass
Paul Pogba inasemekana ana majeraha kwenye ankle tena hivyo huenda akawa nje kwa muda kidogo.Napenda sana pogba ambavyo hapangwi wachezaj wataanza kuwa na nidhamu kwamba hata wao wanaweza bila mtu fulani
This time huenda tukamwadhibu Danny Ings hatakuwepo na Redmond pia.kipimo nilichokuwa nakisubiria kwa bwana ole gunnar ili nimhukumu vilivyo kimekaribia.
wale wahuni wana pressing kuliko mbwa mwenye kichaa na tukishindwa kuicontrol mechi pale kati basi tumeumia.
Romeu and Ward Prowse are very strong, sidhani kama tutaanza na midfield wa mechi iliopita dhidi ya waarabu wa turkey.
matokeo ya ushindi si tu ninayoyasubiria bali hamu yangu ni kumuona Ole akimdhibiti kiufundi mtaalamu ralph hasenhüttl.
nimeshaanza kutetemeka wala siku yenyewe haijafika na wasiolewa mpira watadhani jamaa amechanganyikiwa na stori za halima.
wazee wa 4-4-2 inayonyumbulika hadi 4-2-2-2 wanatusubiri pale kwa mtakatifu
tukutane jumapili inshaallah,
mwalimu bora uingereza baada ya klopp
View attachment 1635337
Tunajua kuwa watakuwa dominated easily na viungo aggresive lakini haliondoi ukweli kuwa kucheza na McFred kila siku wasioweza kutoa hata final passes za kueleweka ni kujichelewesha tu..hatuwezi kuwa tunamtegemea Bruno tu kama roho ya timu..Hahaha watu wanaangalia results tu na siyo factors zingine.
Incase hatuimprove kwenye hilo eneo unadhani nini kinabidi kifanyike?.Yaani bado unataka usajili midfield ?
This time huenda tukamwadhibu Danny Ings hatakuwepo na Redmond pia.
Huyu Redmond ni msumbufu sana na hachoki kukimbia threat nyingine ni Che Adam' pamoja na Ward Prowse.
Redmond hatakuwepo mkuu mimi naamini tutashinda ile game wale Southampton watafunguka halafu tutawatia adabu.★Kama Redmond hatakuwepo me naanza kujihakikishia ushindi asee maana kale kajamaa kanachezaga kama Team wameteka mke na watoto wa kenyewe★
Na Romeu pia..hii timu inaweza kukusumbua mpaka ukataka kuacha kucheki mechi..★Kama Redmond hatakuwepo me naanza kujihakikishia ushindi asee maana kale kajamaa kanachezaga kama Team wameteka mke na watoto wa kenyewe★
Redmond hatakuwepo mkuu mimi naamini tutashinda ile game wale Southampton watafunguka halafu tutawatia adabu.
Na Romeu pia..hii timu inaweza kukusumbua mpaka ukataka kuacha kucheki mechi..
Romeu kazi yake kubwa ni kucheza rafu.Na Romeu pia..hii timu inaweza kukusumbua mpaka ukataka kuacha kucheki mechi..