Oops. Pamoja na kwamba Manu United wana wachezaji 1I plus referee uwanjani lakini uwingi wao hauwasadii.
Manu United hierarchy inabidi wamuombe Alex Ferguson to come out of his retirement kuisaidia hii timu inayoonekana kutokuwa na plan B.
Marouane Fellaini worth £27.5 million!?. Hizi ndizo mechi za kupima dhamani ya pesa iliyotumika na kwa matumizi hayo. Hiki ni kichekesho!
Kuna uwezekano mkubwa wa Wayne Rooney kupata second yellow card. He's frustrated young man.Manu United, Changes, changes, changes.