Hapa kabadilika mmoja tu, katoka Pogba kaingia matic kulingana na LiveScore.
Mzee ana machale yule balaaa.Anafukuzwa lini huyu
Christmas ikipita Mou hatoki pale juu ng'oopep kachoka aisee kafa 2 mbele ya mou
Mkuu si udownload Burma Tv au MobikolaWekeni link tuweze kuona game
Mkuu si udownload Burma Tv au Mobikola
Huyu bwana mdogo mpuuzi sanaMimi kama shabiki lia lia wa ndugu Antony Martial nasema kwamba uvumilivu wangu juu yake umenishinda ananikera sana.
Ole anapiga jani siku hiziCavani anakaaje bench kwa martial????? Huyo ni kocha kweli kwa hii timu
Martial na pogba nakwambia ukweli hawa wanaongeza idadi ya wachezaji ila hatuna watu kwenye hizo namba za watu wawiliKocha kakaa tu jukwaani hata hapigi kelele..OT tunacheza ujinga hivi?
Kabisa aiseeeOle anapiga jani siku hizi