Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.
Alafu kwnn huwa mna dharau namna hii yn huwa mnadhani nyie ndio mnaojua mpira pekeenu au co.
 
Chini ya JM kama kuna namba ambayo PP hajachezeshwa ili kuutafuta ubora wake ni golikipa na labda rightback tu.
Tumuache jamaa aondoke tutafute wachezaji waliokamilika sehemu zote kwenye ushambuliaji na kuzuia kwa kiasi cha kutosha.
Tusibadilishe recipe ya ushindi tuliyobahatisha hadi sasa sababu ya kumfurahisha Pogba.
Pogba AUZWE!
 
Hata goal keeper mbona alichezezwa kwenye mazoezi pale Carrington........
 
Maybe anataka aonekane ana mtazamo tofauti ila hata yeye ukweli anaujua kwenye hiyo list yake ni KDB pekee na Bruno ndiyo unaweza kuwaweka kundi moja kwa sasa.
Thomas Muller Bundesliga kacheza mechi nane kafunga mara nne na assist tano.

UCL kacheza mechi moja ana goli moja.
 
Ngj nikwambie kijana hunijui wala ckujui ila fahamu kwamba unatakiwa kuwa na heshima ofcz km tutahitaji twende academically huniwezi kwa chochote kile I can assure you, huniwezi kabisa kivyote, ww fanya yako tembea usitake tuamshe mambo mengine humu.
 
Ngj nikwambie kijana hunijui wala ckujui ila fahamu kwamba unatakiwa kuwa na heshima ofcz km tutahitaji twende academically huniwezi kwa chochote kile I can assure you, huniwezi kabisa kivyote, ww fanya yako tembea usitake tuamshe mambo mengine humu.
Pesa bro ya kufundishiwa kuandika uwe competent katika kusoma na kuandika
 
★Shaw is expected to miss Premier League games against West Brom, Southampton and West Ham, as well as Champions League clashes with Istanbul Basaksehir, Paris Saint-Germain and RB Leipzig while he recovers from the setback.★

manutd |
 
Fred has started 8 games for Manchester United this season:

3-0 vs. Luton
3-0 vs. Brighton
4-1 vs. Newcastle United
2-1 vs. PSG
0-0 vs. Chelsea
5-0 vs. RB Leipzig
0-1 vs. Arsenal
3-1 vs. Everton

manutd | View attachment 1624335
 
Huyu atakuja kupotea kama Jack Wilshere.. (Spana mkononi)

Ok Alex Telles yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…