Ukweli ni kwamba ujio wa Bruno umeua influence ya Pogba kwenye timu na hata kwa Mwalimu.Jamaa pia kashapoteza ile influence aliyokuwa nayo hapo nyuma ndani ya United..ni muda sasa aondoke maana hata ubora wake hatujauona kwa level tulizozitaka..
Haaahaaaa Mkuu unachekesha kinoma ngoja nivungeMkuu kwa mtu wa soka yeyote yule hawezi kumtilia shaka Fernandes itakuwa ni jambo la aibu ktk soka, FYI Bruno anaanza ktk kikosi cha timu yoyote ile duniani c Bayern, Barca, Madrid Wala City, hakuna kiungo wa kumuweka benchi Bruno, we kaa alafu fikiria ni mchezaji gn wa kumuweka benchi Uncle Bruno.
Martial na Rashford kuna muda unawaangalia unasema hawa ni world class..ila mechi nne mbele wanacheza kama watoto wa League 2 ya England..Pia sijui wanadekezwa kimtindo..Rashford ana makosa mengi ya kiufundi hususan katika suala la pasi utakuta anamtoka mtu vzr lkn hyo pasi akayotoa unaeza kujiuliza huyu ni mchezaji wa utd kweli huyu.
Hii inaleta shaka sana na loyalty ya Pogba kwa United.★Huyu nae maswala ya kusemeana yalishapitwa na wakati amuache yeye mwenyewe aseme kama kweli hafurahishwi kuwa pale OT★
Kelvin De Bruyne, Luka Modric Tomas MullerMkuu kwa mtu wa soka yeyote yule hawezi kumtilia shaka Fernandes itakuwa ni jambo la aibu ktk soka, FYI Bruno anaanza ktk kikosi cha timu yoyote ile duniani c Bayern, Barca, Madrid Wala City, hakuna kiungo wa kumuweka benchi Bruno, we kaa alafu fikiria ni mchezaji gn wa kumuweka benchi Uncle Bruno.
Ukweli ni kwamba ujio wa Bruno umeua influence ya Pogba kwenye timu na hata kwa Mwalimu.
Mwanzoni Pogba ndiyo alikuwa kila kitu pale United lakini sasa hivi hata kucheza hatazamwi kama ndiyo key man wa timu.
Kuanza kuwekwa benchi mara kwa mara ni ishara tosha kuwa hata mwalimu hamuamini tena kama zamani.
Hii inaleta shaka sana na loyalty ya Pogba kwa United.
Kila akienda ufaransa lazima achomoe betri ila akiwa Carrington anakuwa mpole kwa sababu hana influence tena kama ya zamani.
But all in all ni mwendelezo wa Magazeti kuandika taarifa za Man United.
Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.Kelvin De Bruyne, Luka Modric Tomas Muller
Ukweli ni kwamba bado Pogba ni mchezaji mzuri lakini huenda hataweza kuendelea kuwa bora pale United kwa sababu zake mwenyewe binafsi.★Real talk me mwenyewe kipindi anafanya yale maringo yake arudi Juventus kipindi kile nilikuwa napiga ombi nikiwaza ni nani atafaa hapo maana hatukuwa na mtu kabisa lakini Toka aje Bruno naona hata wakimuuza bei ya Chris Smalling inatosha kabisa maana naona anaelekea kuwa Useless yani ile Totally Useless (Trash) asipobadirika sijui kama atatoboa★
Luka Modric anakaa benchi la wapi ?Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.
Thomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.
Wewe una matatizo makubwa mkuu ww yn umfananishe Bruno na Modric wa ss, eti MullerThomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.