Kama Man U ingethubutu kumuuza Rooney na sisi msimu huu tungekuwa na majuto kama ya Arsenal kwa kutukabidhi RvP. Ukiwa na lile bunduki kubwa usimkabidhi adui yako.
goli la kwanza ilipetwa offside kwanza ndo rooney akafunga,walizidi wachezaji wawili wa manure wakarudisha mpira nyuma kabla ya kupewa tena evra alyetia kros iliyomkuta rooney!
Ila kadi ya R.V.P ni ya uongo refa kamwonea haina ubishi