kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,774
- 20,678
Not bad !!! Mason instead of Edinson !!!!Mechi ya Leo tuna kila sababu ya kutoka na 3 pnts !!!
[emoji89]ole achange karata vizuri
[emoji89]Hatuna majeruhi Sana
[emoji89]Timu iko Moto kwa Sasa
[emoji89]Baadhi ya wachezaji wamerudi form
[emoji89]Aseno wachumba tu OT
My prediction line up
David
AWB, Victor, Harry , Luke
Scott,Fred Paul
Rashy Edinson Bruno
Let's do it
#GGMU [emoji123]
POGBA SASA AMEKUWA MZURI SANA..HAPO KATIKATI KUSHOTO ANACHEZA VIZURI SANA, KWANI ANAPANDISHA MASHAMBULIZI NA ANARUDI HAPO KWA SHAW KUMPA TAFU, KAMA ULIANGALIA MECHI YA UCL UTAELEWA.Me naona kuwaanzisha wote kwa pamoja Pogba na bruno ni kupoteza balance ya team
Ngoja tuone
Kuna Fred na Mctominay watamkabia balance bado ipoMe naona kuwaanzisha wote kwa pamoja Pogba na bruno ni kupoteza balance ya team
Ngoja tuone
Kama crystal Palace wanakukula hapo old toilet sisi nani tushindweAsernal huna timu ya kuishinda ManUtd, jipe moyo
Kivipi, Pogba anacheza free. Watu wa kazi wapo pale kati Fred na Tom. Pogba na bruno ni kufeed Rashid na GreenMe naona kuwaanzisha wote kwa pamoja Pogba na bruno ni kupoteza balance ya team
Ngoja tuone
Ile front3 ilitakiwa iwe na watu wenye pace woteKivipi, Pogba anacheza free. Watu wa kazi wapo pale kati Fred na Tom. Pogba na bruno ni kufeed Rashid na Green
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
hakuna front 3 mkuu wapo wawili mbele na ni greenwood na Rashford, wote wana paceIle front3 ilitakiwa iwe na watu wenye pace wote
Bekindiyo wanachelewesha buildup. Maguire anakaa sana na mipra bila kutoa pass mpaka opposition wanajipanga, ana kitete. Pass ndefu zinapotezwa, anayeweza ni Paul tuuOle aache usenge sasa aje na mbinu za kupress mambo ya backpass hapana.
Alafu Pogba mzito kufanya maamuzi ya haraka.
Kocha atoe mc Tommy aingize Matic, atoe Greenwood aingize Cavani, af tucheze 4-2-3-1 Rashford aende pembeni.First half mbovu sana, ngoja tuone kama tutabadilika sec half maana inaboa hata kuangalia.