Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli mkuu Ozil hajaisha bado anakitu kikubwa hasa kwenye final third, angesaidia sana kwenye ubunifu, ila ndo hivyo alifanya makosa yanayomgharim....
 
Mechi ya Leo tuna kila sababu ya kutoka na 3 pnts !!!

[emoji89]ole achange karata vizuri
[emoji89]Hatuna majeruhi Sana
[emoji89]Timu iko Moto kwa Sasa
[emoji89]Baadhi ya wachezaji wamerudi form
[emoji89]Aseno wachumba tu OT

My prediction line up

David

AWB, Victor, Harry , Luke

Scott,Fred Paul

Rashy Edinson Bruno

Let's do it

#GGMU [emoji123]
 
Mkuu hata Leicester walikuwa wachumba emirates stadium lkn wakaondoka na ushindi
 
Manchester United official lineup to play Arsenal: De Gea, Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Shaw, McTominay, Fred, Pogba, Fernandes, Greenwood, Rashford. #MUFC #MUNARS

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…