Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lindelof na nani sijui mana bora hata Rojo kwenye kikosi cha UEFA angekuwepo angesaidia na Lindelof ila bahati mbaya kwenye kikosi hayupo
Lindelof, Tuanzebe, Teden Mengi, Luke Shaw, Alex Telles, Scot Mc tominay na Matic wanaweza kucheza centreback.

Shaw na Scot wameshacheza mechi nyingi tu katika hiyo nafasi
 
Ole Out.

Ole usije tuletea ukuda wa kumuanzisha pogba DM wakati CB hawaeleweki. McTomminay Fred, Mata piga benchi Martial Weka MBE MVP.
 
Napenda kuona hiki kikosi.

Henderson

Awb Lindelof Tuanzebe Telles

McTomminay Fred

VDB Mata fernandes

Rashford
 
Napenda kuona hiki kikosi.

Henderson

Awb Lindelof Tuanzebe Telles

McTomminay Fred

VDB Mata fernandes

Rashford
Mh unachezesha wachezaji ambao hawajawahi kucheza pamoja hata mara moja utegemee matokeo mazuri ?

Au unataka kuhalalisha hoja ya Ole out baada ya kufungwa?
 
Mh tusikereke kwa maoni na mitazamo ya wenzetu labda kama wanatutukana.

La msingi ni kuendelea kujenga hoja kwanini Ole bado anafaa vs kwanini Ole hafai.

This is a free platform where everybody can air his views freely.

Let's stay positive and love each other.

We are Man united.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…