Newcastle hawakuwa na goal keeper kwa takribani dk 30 za kipindi cha pili. Alikuwa ameumia na coachman wao hakutaka kufanya sub. Wachezaji wngekuwa sharp haya magoli yangeingia mapema sana siyo mwishoni hivi.