Kama kushinda mechi kubwa ni hamasa hiyo hamasa inafeli vipi kumpa matokeo kwenye timu ndogo ambazo huwa hazichezi zaidi ya kupaki basi ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na hapa ulikuwa unalaumu nini kama siyo hoja ya mwalimu kukosa first target?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tactical flaws za mechi moja moja hutokea tu hata kwa makocha wengine pia.Tunamlaumu Ole kwa uwezo mdogo
Hivi katika hali ya kawaida ile mechi ya Spurs na United, timu ipo pungufu mchezaji mmoja, halafu unamtoa Bruno badala ya Pogba?
Upo nyuma mchezaji mmoja bado unaendelea na plan ya kufanya build up kutoka nyuma (kosa la Bailly ni much more down to coach than Bailly himself)
Hakuwa na squad ya kufanya rotation kwa muda mrefu.
Wachezaji wengi wamekuja kuimarika baada ya lockdown.
Tournaments wakati mwingine zinaamuliwa na bahati tu.
Na katika kila timu iliyomtoa OGS semi final wametwaa ubingwa cant you see that fact?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Unakamia mechi msimu mzima ?Nadhani umewahi kukutana na neno kukamia mechi
Hicho ndio kinatokea kutokana na hamasa
Kwa msimu huu hana sababu yoyote ya kushindwa kufanya vizuri kama squad haitasumbuliwa na injuriesOkay..
So mkuu,Ole ana sababu yoyote ya kushindwa kufanya vizuri msimu huu?..Let's forget about how we start this campaign
Pro Ole wapi hao ?Pro Ole ndio hoja yao hiyo kwamba Ole hapati first targets
Ole always amekuwa akisema ana back up kubwa ya board
Na hamna sehemu nimesema Ole amelalamika kwamba hapati first target
Tubaki basi "Positive" hii tuone mambo yatakavyokuwaKwa msimu huu hana sababu yoyote ya kushindwa kufanya vizuri kama squad haitasumbuliwa na injuries
Ana squad kubwa kwenye defence, midfield na attacking sasa hivi anaweza kucheza mfumo wowote uwanjani kutokana na kuwa na wachezaji wanaofit mifumo yote.
Tumeanza vibaya kwa sababu ya match fitness with time tutaimarika na kuanza kupata matokeo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ok thnx for information.Wkt Leicester anachukua ubingwa alikuwa na center half ya huth na wes Morgan..... Maguire alikuwa bado hajasajiliwa
Pamoja na kamba huwa tunaongelea united kuondoa wachezaji mizigo huwa hatumaanisha first eleven yetu bali wachezaji wa akiba. Hivyo Ole ana wachezaji wa kikosi cha kwanza daraja la juu sana kulinganisha na timu zilizomtoa nusu fainali kasoro city labda.Kwanza kitendo cha kufika semi finals tatu kwenye tournaments tatu ndani ya msimu mmoja ni cha kupongezwa sana cause hakuna kocha mwingine aliyefanya hivyo except OGS.
Huoni kuwa tactical brilliance yake ni kubwa kucheza tournaments tatu unafika semi zote na timu inaingia top 3 epl kwa squad ambayo ina deadwoods wengi namna ile ?
Haya ni mafanikio alihitaji kupewa mahitaji yake sawa sawa na board.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Pamoja na kamba huwa tunaongelea united kuondoa wachezaji mizigo huwa hatumaanisha first eleven yetu bali wachezaji wa akiba. Hivyo Ole ana wachezaji wa kikosi cha kwanza daraja la juu sana kulinganisha na timu zilizomtoa nusu fainali kasoro city labda.
Kuhusu kufika nusu fainali tatu kwa mtizamo wangu ule ulikuwa uwezo binafsi wa wachezaji na kilichokosekana pale ni mbinu za ole ili tuingia fainali kabisa.
Wachezaji wametoa ushindi 60% na ole alitakiwa kumalizia 40% kwenye mbinu ili timu ishinde matokeo yake ikawa kinyume.
HV umeelewa nilichoandika?wewe acha uongo maguire kaipa ubingwa upi?
Mmmh kwamba ktk EPL hamna straika atakayemshinda kwa magoli...haahaa yetu macho ngoja tumuoneUMEMWONA Edinson Cavani? Anapiga tizi la kutosha kivyake akiwa amejitenga kama kanuni ya janga la virusi vya corona inavyohitaji baada ya kunaswa na Manchester United.
Straika huyo wa kimataifa wa Uruguay, Cavani, 33, alituma video yake Instagram akipiga tizi kali kujiweka fiti huku akiwa na uzi wa mazoezi wa Man United.
Cavani alisaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine zaidi huko Man United wenye thamani ya Pauni 200,000 kwa wiki. Lakini, sasa baada ya kuwasili kutoka Ufaransa, atalazimika kujifungia kwa siku 14 kutokana na kanuni za corona. Kama mambo yatakuwa hivyo, Cavani hatacheza dhidi ya Newcastle United, Oktoba 17 na atakuwa na siku moja tu ya kujiunga na wenzake kabla ya kuwakabili timu yake ya zamani Paris Saint-Germain.
Unaambiwa hivi, Cavani ni balaa jingine linapokuja suala la kufunga. Tangu aanze kucheza soka, wachezaji wanaomzidi kwa mabao ni wawili tu, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Zaidi ya hapo, atatua Ligi Kuu England ambako hakuna straika yeyote anayeweza kumshinda kwenye kufunga kuanzia Harry Kane wa Tottenham, Sergio Aguero wa Manchester City, Mohamed Salah wa Liverpool, Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal na hata Jamie Vardy wa Leicester City hawatii mguu kwa fowadi huyo matata.
Katika Ligi Kuu tano bora za Ulaya, kuanzia Machi 11 2007, ni Ronaldo na Messi pekee yake ndio wanaomzidi Cavani kwa mabao, ambapo ndani ya muda huo, ametikisa nyavu mara 250. Anashika namba tatu kwa mabao nyuma ya Ronaldo na Messi. Ronaldo anayekipiga Juventus kwa sasa amefunga mabao 416, wakati staa wa Barcelona, Messi amefunga mabao 432. Cavani alihitaji mechi 413 kufunga mabao 250, wakati Ronaldo mabao yake aliyofunga alihitaji mechi 433 na Messi mechi 450. Amepita kwenye timu za Palermo, Napoli na PSG kabla ya sasa kutua Man United, huku akifunika mastraika wote waliopo Ligi Kuu England.
Ndani ya muda huo, Aguero amejaribu kufurukuta akifunga mabao 248 na walau anamkaribia Cavani kwa mastaa waliopo Ligi Kuu England kwa sasa. Aguero amecheza idadi sawa ya mechi na Cavani, ila anazidiwa mabao mawili. Tano bora ya mastaa waliotikisa nyavu mara nyingi kwenye Ligi Kuu tano bora za Ulaya kwa kuanzia Mei 11, 2007 inakamilishwa na Zlatan Ibrahimovic, mwenye mabao 245 katika mechi 330. Mabao yake mengi Cavani alifunga akiwa na kikosi cha PSG.
Alifunga mabao 138 katika mechi 200. Kwenye kikosi cha Napoli kwanza alipocheza kwa mkopo akitokea Palermo alifunga mabao 26 katika mechi 35 na baada ya kubeba jumla, alifunga mabao 52 katika mechi 69 kabla ya kusajiliwa na PSG. Kwenye kikosi cha Palermo alifunga mabao 34 katika mechi 109.
Mzee baba ile leista iliyochukua ubingwa sikuwahi muona magwaya pale nyuma zaidi ya. Huth sijui booth na lile niga lenye roho mbaya hatariiiiiLkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Kaanza shabikia mpira juzi huyoMaguire hakuwa sehemu ya squad ya Leceister iliyotwaa ubingwa.
Defence ya Leicester kipindi hicho ilikuwa na
Robert Huth
Weiss Morgan (captain)
Christian Fuchs
Danny Simpson
Liam More View attachment 1595630
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hii ni REAL BIAS.Pamoja na kamba huwa tunaongelea united kuondoa wachezaji mizigo huwa hatumaanisha first eleven yetu bali wachezaji wa akiba. Hivyo Ole ana wachezaji wa kikosi cha kwanza daraja la juu sana kulinganisha na timu zilizomtoa nusu fainali kasoro city labda.
Kuhusu kufika nusu fainali tatu kwa mtizamo wangu ule ulikuwa uwezo binafsi wa wachezaji na kilichokosekana pale ni mbinu za ole ili tuingia fainali kabisa.
Wachezaji wametoa ushindi 60% na ole alitakiwa kumalizia 40% kwenye mbinu ili timu ishinde matokeo yake ikawa kinyume.
Baada ya kuanza bettingKaanza shabikia mpira juzi huyo
Kabisa pimbi huyo