Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi Ole hana mpango wa kusajili au board yetu haina uwezo wa kusajili ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
★Kuna muda inabidi tufanye madhambi kwa lengo la kurekebisha makosa bila kuangalia itatugharimu kiasi gani mfano shule mkiwa mmepewa adhabu kama kuna mtu atagomea adhabu uwezekano wa adhabu kupewa yeye unakuwepo mkubwa sana na ndivyo nilifikiri kwa Man U kwamba wakikosa kuingia fainali wakuu wa bodi na Meneja kwa ujumla watakuwa wameona mapungufu ya timu na kuihudumia panapo stahiri lakini plan yangu haijafanya kazi nahapo ndipo ntaonekana namakosa ila ingefanyikiwa pasingekuwa na doubt yeyote★
Maombi yako yalitugharimu sana.

Kuombea mabaya team yetu haitasaidia chochote.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Anavyostahili kutwaa Arsenal tu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hilo kundi ni jespesi sana kwa united.

Tutakuwa wakwanza kuvuka kwenye kundi hilo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Manchester united kuwa kwenye kundi gumu sioni kama tunaweza kufanya vibaya wachezaj tunao tena wa maana tu kwamba Rb Leipzig wana watu wa maana kutushinda sisi?

Psg ubora wao upo kwa mbape na neymar na tushacheza nao kila mmoja alishinda mech moja kwa mwenzie na tukamtoa ki msingi nidhamu ya mchezo na mbinu tu
 
Liverpool hakutumia pesa ndogo kuimarisha ukuta wake mkuu angalia vizuri record zako.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Bodi ya united hawana uwezo wa kusajili zaidi ya kupiga porojo magazetini tu.

Mpaka mchezaji mtangazwe ndiyo utajiridhisha kuwa united tumesajili bila hivyo hakuna kitu.

PSG ni timu yenye watoto wengi kama united tu kwa vyovyote vile kundi letu ni kundi la watoto.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Threat pekee PSG ni Mbappe tu huyo Neymar hana lolote.

Mchezaji anayeweza kukosa clear chance tano hawezi kuwa threat kwa timu yoyote

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Liverpool hakutumia pesa ndogo kuimarisha ukuta wake mkuu angalia vizuri record zako.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Kuna
Matip free
Joe gomez
Andrew Robertson
Trent Alexander-Arnold
Virgil Van Dijk

Hapo wa gharama ni Virgil Van Dijk basi

Kwetu sasa

Shaw
Bailly
Maguire
Lindelof
Bissaka

Siongei vibaya kuna muda hata bodi inabidi ijifikirie mara 2 kutoa mpunga
 
Mbona umemsahau Alisson ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Threat pekee PSG ni Mbappe tu huyo Neymar hana lolote.

Mchezaji anayeweza kukosa clear chance tano hawezi kuwa threat kwa timu yoyote

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Mkuu neymar ni hatar zaidi ya mbappe nakwambia ukweli kuna muda watu walikuwa had wakienda mbali hazard ni bora ya neymar yaani hao wote wawili mbappe na hazard hawawezi kumfikia neymar kwa lolote lile nakwambia ukweli
 
★Wanaona Tupo League ya Mabingwa League ngumu hata huruma kutuonea sisi MASHABIKI hawana huku si kuuwana kwa Presha huku★
Bodi ya united hawana uwezo wa kusajili zaidi ya kupiga porojo magazetini tu.

Mpaka mchezaji mtangazwe ndiyo utajiridhisha kuwa united tumesajili bila hivyo hakuna kitu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu neymar ni hatar zaidi ya mbappe nakwambia ukweli kuna muda watu walikuwa had wakienda mbali hazard ni bora ya neymar yaani hao wote wawili mbappe na hazard hawawezi kumfikia neymar kwa lolote lile nakwambia ukweli
Neymar hana hatari yoyote sema ni machachari kuliko Mbappe.

Neymar hawezi kuwa threat kiasi cha kutisha kucheza nae kwanza anakabika na predictable sana.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
★Wanaona Tupo League ya Mabingwa League ngumu hata huruma kutuonea sisi MASHABIKI hawana huku si kuuwana kwa Presha huku★
Probably wameshindwa kusajili kwa sababu imejengeka kuwa United wanatumia pesa nyingi kusajili hovyo hovyo.

Kama timu nyingine yoyote ingemtaka Jadon Sancho ingeweza kumpata chini ya milion mia but kwa sababu ni united lazima borussia wawe bold.

Tumetengeneza precedent ya kupigwa kwenye transfer Market hatuwezi kuiondoa hii hali kirahisi labda tuamue kuimarisha academy yetu.

Sokoni tunapigwa sana katika mazingira ambayo timu zingine ingeweza kumpata mchezaji kwa bei rahisi tu.

Huenda recruitment department yetu imejaa washamba kwenye transfer market.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…