ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
True and relevant example is T.KroosHata wakipata mbadala, kumkosa Sancho itakuwa ni pigo lingine baada ya kumkosa Haaland. Wachezaji kama hawa wa msimu wakitokea na ukishindwa kuwanunua kuja tena kuwapata ni 10%/100%
Ngj uone atakavyo kichafua.Safi mizigo ipungue
Ngumu sana labda tubadilike lkn kwa mpira wetu ule wa kutegemea juhudi binafsi sioni pa kupenya.★me najiuliza hivi hapa tutatoboa kweli nahitaji mawazo yenu nijipange ki psychologia maana naona kuna maumivu★View attachment 1588538
Ngumu sana labda tubadilike lkn kwa mpira wetu ule wa kutegemea juhudi binafsi sioni pa kupenya.
itafika wakati atataka kumuuza ad bruno wasipoangalia mana, huyu kocha hana mbinu za kiufundi kabsa kashusha viwango vya wachezaji toka aje mfano daniel james, bissaka , maguire, hata bruno ukianza kuangalia unaona ananza kushuka na si ajabu hata sancho akaja akawa boya tu, mana kocha hatuna kabisa.Solskjær is prepared to sell Daniel James to fund a late move for Jadon Sancho, but Ole is yet to convince United's board of the merits of a potential £25m sale #mulive [espn]
SMH!
Nipo pamoja na wewe mkuu.Ngj uone atakavyo kichafua.
tutatolewa raundi ya kwanza kabisa na wala hamna shida litakua jambo zuri sana mana hatuna hadhi ya kucheza nao hao kwa timu mbovu hii#mufc Champions League group stage fixtures:
October 20: PSG (A)
October 28: RB Leipzig (H)
November 4: Istanbul (A)
November 24: Istanbul (H)
December 2: PSG (H)
December 8: RB Leipzig (A)
Hata tusiposhinda Solskjær hafukuzwi, kazi ya Solskjær ni kuhakikisha ana-maintain kushiriki UCL kila msimu na hapo atakula meza moja na Ed na Glazers.Naombea Man U tusishinde hata gemu moja, yaani tupigwe nje ndani kama vibaka wa Tandika vile ili bodi ipate akili na imtimue yule masai arudi Monduli(Norway)
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Naombea Man U tusishinde hata gemu moja, yaani tupigwe nje ndani kama vibaka wa Tandika vile ili bodi ipate akili na imtimue yule masai arudi Monduli(Norway)
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
So sad Manchester United sio timu ya uwanjani tena mkuu, sasa hivi ni business na mastermind wa hii michongo ni Ed.sijawahi kuona timu ya kipumbavu kama hii...
mfano huyo telles, tunashindwa nini kuongeza 8 kwenye kumi pauni milioni, ili ziwe pauni mil 18 tumchukue huyo beki ambaye tunamhitaji
dortmund wanataka 100, wewe una 95, una ona shida gani kuongeza 5 ili umchukue mchezaji unayemtaka...mambo ya kishenzi sana
Hehehe mkuu ww unafaa kuwatia watu sumu wakapanda ndege na kujilipuaSo sad Manchester United sio timu ya uwanjani tena mkuu, sasa hivi ni business na mastermind wa hii michongo ni Ed.
Ed hataki kutoa hiyo hela kwa Telles kwasababu anajua miezi michache mbele anaweza kumpata Telles tena bure so kinachofanyika ni kuwapiga Porto chenga ya mwili wao watakomaa na 18 ila United wao wanawavuta ili kuwatoa mchezoni, kwakuwa hakuna upinzani mkubwa Ed anajitahidi awavute Porto mpaka dk za mwisho wakikosa mteja lazima watakubali maana Porto hatakubali abaki na mchezaji ambaye anaweza asikubali kuongeza mkataba na akaondoka bure mkataba wake wa mwanzo ukiisha. Na ikifikia siku ya mwisho hajauzwa inaweza kuwa win kwa Ed kama mchezaji ana interest na Man. Utd means atakuja bure mwisho wa siku na hapo ndipo Glazers wanapozidisha mahaba kwa Ed.
Na kuhusu Sancho pia naamini ni michezo ya kibiashara ya Ed mpaka sasa naamini Sancho anaweza kuja United na atakuja akiwa ametengenezewa popularity kubwa sana na official announcement ikitoka ita-trend sana na kupelekea mashabiki wengi kuzama mfukoni kununua matambara yao kuwafaidisha Adidas ili wazidi kumwaga mpunga wa sponsorship United.
Sasa ili Adidas wafurahi zaidi ndiyo mtu kama Solskjær anaingia hapa kwakuwa hamsumbui kichwa Ed kazi yake ni kuhakikisha anapata tiketi ya UEFA tu, kama unavyojua kila tukienda UEFA Adidas kuna asilimia anatoa.
Kitu kikubwa ni mapato na plan za mapato ndiyo hizi zinazofanyika, United wakitaka kurudi kwenye ubora wao ni madirisha mawili tu ila ni mpaka Glazers wauze ile timu.
Lingard hauziki auu...Done deal: Diogo Dalot to AC Milan on loan. Tomorrow he will fly to Italy. #MUFC @DiMarzio
Lingard hauziki auu...
dah aise haya yote ya nini na muda unazidi kusogea dirisha linafungwaSo sad Manchester United sio timu ya uwanjani tena mkuu, sasa hivi ni business na mastermind wa hii michongo ni Ed.