Nikiwa kama shabiki wa Arsenal naamini hizi ni rumours tu.Kwa hiyo dili la Sancho limeangukia hapa!!!View attachment 1585639
Ni kweli kabisa mkuu yn man u itoe pesa imsajili chizi km Niles kweli jmn??Nikiwa kama shabiki wa Arsenal naamini hizi ni rumours tu.
Mchezaji anacheza beki, winger, kiungo na akikaa kipa ana uwezo wa kupata clean sheet nyingi kuliko Kepa anauzwaje kipindi hichi timu inahangaika kujijenga?
Kiukweli sikujiandaa kwa matusiNi kweli kabisa mkuu yn man u itoe pesa imsajili chizi km Niles kweli jmn??
Haina haja mkuu cz facts ni ngumu kuzipingaKiukweli sikujiandaa kwa matusi
Comrade Kipepe mlitoa £72 ml je alikuwa na thamani hiyo?? Kama Kipepe mliuziwa £72 ml ,Unadhani Jordan Sancho value yake itakuwa ipi??Nilisema hana thamani hiyo nikaambiwa nitulie maswala ya ukoo hayanihusu. Naona mwanaukoo mwenzao umegutuka kua kuna transfers zinafanywa halafu ni za viazi.
Kwa maoni yako. Ni kweli alaumiwe Lindelof au Maguire ni mzigo?
Facts zipiHaina haja mkuu cz facts ni ngumu kuzipinga
Ss Niles wa nn, pale utd atacheza wapi mkuu?Facts zipi
well said mkuu, huyu kocha snatemblea bahati tuu ila mbinu hana na anatumiza wspenzi na mashabiki wa man utdmkuu mbona toka msimu uliopooita tulikuwa tunacbeza vibaya akajificha kwenye hoja ya rebuild msimu huu kaja na hoja ya uchovu ila mbivu na mbichi zitajulikana labda bahati imbebe ila ile quality ya kocha yenye kuamua baadhi ya game imemshinda game nyingi
Hata ukiangalia mechi ya utd kiukweli haivutii kabisa japo tuna wachezaji wengi wazuri, ni nafuu Arsenal na wachezaji wake wa kuunga unga lkn wanacheza kitimu kuliko utd yenye Lundo la quality players.well said mkuu, huyu kocha snatemblea bahati tuu ila mbinu hana na anatumiza wspenzi na mashabiki wa man utd
Alafu ni bonge moja la kipa aisee, tuwape ata Chelsea huyu kipa au ArsenalMan U makipa wapo wa4
David
Dean
Grant
Sergio
Namhurumia sana SERGIO ROMERO
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Umeona eeh.Alafu ni bonge moja la kipa aisee, tuwape ata Chelsea huyu kipa au Arsenal
Ata barca angewasaidia mana ter Stegen ameyumba kdg, ila huyu mtoto Dean Henderson kwakweli de gea ajipange.Umeona eeh.
Tukawape hata Sheffield kidogo
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
S.Romero nilimjulia kombe la dunia 2014 nilishangaa mbona jamaa afungwi kiboya.
Makipa wazuri mno!!!Ss Niles wa nn, pale utd atacheza wapi mkuu?
Msione tunayumba tatizo ni mbinu za kimpira na makosa madogo madogo ya wachezaji ambayo yakipata mwalimu mzr yanapotea fasta.
Uyo Niles japo mnasifia anacheza mpk kipa lkn pale utd hachezi hata hyo nafasi ya kipa cz kuna makipa wazuri mnoo.
Hebu leta takwimu kati ya Arsenal na Utd tuangalie, tulikuwa tunawafunga mpk ikasemekana Arsenal ni tawi la utd ushasahau?Makipa wazuri mno!!!
Arsenal ikiwa na Niles na man united ikiwa na makipa wazuri mno matokeo ya mechi yalikuaje
Niles na makipa wazuri mno walikuwepo?Hebu leta takwimu kati ya Arsenal na Utd tuangalie, tulikuwa tunawafunga mpk ikasemekana Arsenal ni tawi la utd ushasahau?
Kwahyo now mko vzr eti?Niles na makipa wazuri mno walikuwepo?
Van De Sir? Buffon? Bartez? Schmeichel?
Yah.Van De Sir? Buffon? Bartez? Schmeichel?
Makipa wakizeeka ndo wanazidi kuwa bora.