Hata km Bailly hayupo fit sioni sababu ya kumwanzisha huyo bwege wa Kiswidi bora hata Fotsu-Mensah !!!Huyu kocha kafanya nitukane yale matusi ya hasira wakati huwa situkani kabisa.. Kamuacha Baily Nje kweli?!
OGS ASIPOMSTAAFISHA MAPEMA POGBA TUTAPATA TABU SANA...MBONA MATIC UMRI UMEENDA NA ANACHEZA VIZURI TUU..pumbaf sana.Katika dakika hizi 25 mnasemaje wadau?? Kweli hadi hawa tunamuhitaji sancho kudominate mechi kama hizi? Attempt 4 kwa 1 tena hatuna on target jamaa wana kama 2 hivi na mlingoti juu. [emoji3][emoji3]
Ngoja niendelee kuangalia labda kuna jipya mbeleni lakini mmmh NEHIE.
Hao wachezaji watauzwa tutatafuta wengine.AWB,Fernandes,Maguire,James walianza poa sana,,lakini tukiwaangalia kadri siku zinavyokwenda wanazidi kupoteana..Kuna kitu Ole na Staff wenzake wanazingua kwenye training for sure..
Sema let's give it a time kidogo,tuone hawa wachezaji wataendeleaje
tumia hesgoal googleMwenye link asaidie jahazi wengine tuko mbali na TV...