Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Tatizo kubwa la Lindelof, pamoja na kupewa muda ila jamaa hajiamini kwenye maamuzi....anatabia ya kusindikiza mtu hadi kwenye box, vidic hapo anakulaza mapema sana...ile header kampa De gea ya ajabu sanaMkuu hii timu tuijua vizuri huo upande ni utopolo wewe mwenyewe umeona cross inapigwa mensah hayupo haya kaenda kukaba lindelov naye anaangalia tuuu mpaka watu wanapiga cross hata kuweka mguu haweki.
Aliitwa RonaldoHuyu alinunuliwa sababu ya mbio tu hana kipya cha kutuofa wana man u
Uingereza kama bongo tu promo nyingi uwanjani majangaAliitwa Ronaldo
Kidogo nipasue simu kwa hasira nilivyomuona Woodward anakunywa juice kule juu jukwaani....Anapata wapi Ujasiri wa kunywa Juice kwenye nyakati kama hizi huyu Kima!!!?Mm leo tukipigwa itakuwa poa tu ili wasajiri c unajua man u ya cku hz mpk itiwe tiwe ndo inasajiri.
HahaNYUMBU kama NYUMBU View attachment 1574519
Pole mkuu ila ile ni kahawa au unaweza sema al kasusKidogo nipasue simu kwa hasira nilivyomuona Woodward anakunywa juice kule juu jukwaani....Anapata wapi Ujasiri wa kunywa Juice kwenye nyakati kama hizi huyu Kima!!!?
Muda wa kupewa penati