hahaa.. Aloo wakipita wahusika wasome huu ujumbe utawatambua ni kina nani. Yaan wenzako wamepata cha kutambia wewe unaita sinia la kashata na birika la kahawa?
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
kocha wetu nae hayupo katika mbinu kubwa za kiufundi na kiuwezo kuinoa club kubwa kama utd, najua kuna watu wanalipinga ili ila litaonekana tuHalafu kitakachotokea ni timu kuwa ushubwada na next season tutaanza tena stori za kufanya rebuilding...
Wakati hata mimi layman naona kabisa kama tungepata
•RW
•Straika proper
•CB
•Backup LB
Plus Proper training and coaching basi ubingwa ni wetu kuugombania..Lakini tunakoelekea hata nafasi ya nne tunaweza kugombania kama abiria wa daladala za Mbagala wanavyofanya wakati wakiwa wanarudi kwao..
Muda mwingine namuelewa Mourinho jinsi anapoweka mambo public pale ambapo haridhishwi na viongozi wa juu wanavyofanya kazi..
Upande wa kule sijui kona ilikua inapigwaje★TROW BACK THURSDAY (TBT) ya Leo tulichapa mtu Derby ya kwanza OT RAHA SAAANA.
...................ON THIS DAY...............:
In 1910, Man Utd beat ManCity 2-1 - this was the first Manchester derby played at Old Trafford.★View attachment 1572200
Tatizo kocha hapewi ushirikiano na bodi unataka afanyeje? Ole co mtu wa kuongea yeye anasema nileteeni huyu bodi haimleti mwisho wa siku akifeli utamlaumu kocha? Kocha mzr co mpk awe aliyepata mafanikio bali timu ndiyo inapaswa kumfanya awe mwenye mafanikio, angalia barca ilivyombeba pep, angalia Bayern ilivyombeba kocha wao mcm huu wote hao hawakuwa na mafanikio ila tm ziliwabeba na kuonekana makocha wazuri but co utd hii tunayoaminishwa ni klabu tajiri duniani.kocha wetu nae hayupo katika mbinu kubwa za kiufundi na kiuwezo kuinoa club kubwa kama utd, najua kuna watu wanalipinga ili ila litaonekana tu
Tatizo kocha hapewi ushirikiano na bodi unataka afanyeje? Ole co mtu wa kuongea yeye anasema nileteeni huyu bodi haimleti mwisho wa siku akifeli utamlaumu kocha? Kocha mzr co mpk awe aliyepata mafanikio bali timu ndiyo inapaswa kumfanya awe mwenye mafanikio, angalia barca ilivyombeba pep, angalia Bayern ilivyombeba kocha wao mcm huu wote hao hawakuwa na mafanikio ila tm ziliwabeba na kuonekana makocha wazuri but co utd hii tunayoaminishwa ni klabu tajiri duniani.
Nimeanza kuwa na mawazo kwamba huenda man utd ni benki na wala co tm ya mpira wa miguu.
Upande wa kule sijui kona ilikua inapigwaje
Sijaelewa hiiMaamuzi sahihi katika muda sahihi.View attachment 1573169