Katika hao wote me anayeniuma zaid ni Haaland ni km tulivyomkosa dinho.
★Manchester United have made contact with Atalanta over the signing of 18-year old winger Amad Traoré.
Ole Gunnar Solskjaer's side see the forward as an alternative to Jadon Sancho.★View attachment 1572222
Huyo bwana mdogo ni hatari sana nashangaa wanahangaika na Sancho wkt kuna dogo kule Greenwood anafaa na ana madhara pia so ni kumuamini tu, hyo pesa ya Sancho wangelipa kwa ajili ya haaland cz no9 yetu ni mzigo, nmeangalia games za France kijana bado anakosa magoli ya wazi km kawaida yake wkt haaland anafunga magoli katika impossible angle dah dunia hii haina usawa kabisa aisee.Mwanzo nilibeza sana kwamba hana jipya haaland nimeangalia mech za kimataifa wiki iliyopita jamaa ni mmaliziaji mzur sana tena sana alikuwa mtu muhimu sana kwetu
Huyo bwana mdogo ni hatari sana nashangaa wanahangaika na Sancho wkt kuna dogo kule Greenwood anafaa na ana madhara pia so ni kumuamini tu, hyo pesa ya Sancho wangelipa kwa ajili ya haaland cz no9 yetu ni mzigo, nmeangalia games za France kijana bado anakosa magoli ya wazi km kawaida yake wkt haaland anafunga magoli katika impossible angle dah dunia hii haina usawa kabisa aisee.
Tunaenda kuanza ligi ila sina hata mzuka yani na hii timu sijui yani itakuwaje ngoja tuone maana hata kimpira sioni kama kuna kitachobadilika kabisa..
TOP 4 20/21
1. Arsenal
2. Man city
3. Liverpool
4. Chelsea
5 Man u
Anaota huyo achana naye mkuu, ndivyo walivyo Arsenal fans wakishinda mechi za ufunguzi wanakuambia wao mabingwa ikifika mechi ya sita tu kocha hafai.Inawezekana maana hata leicester city alichukua ubungwa mpira una maajabu yake nani alitegemea kama arsenal angeondoka na sinia la kashata na birika la kahawa timu nzur zimeshindwa kubeba birika na sinia angalau arsenal hajatoka kapa
Manyumbu mnatesekaaa ujio wa fundi mkata umeme wa dunia. Na mwaka huu maji mtaita "mmma" View attachment 1572344
Inawezekana maana hata leicester city alichukua ubungwa mpira una maajabu yake nani alitegemea kama arsenal angeondoka na sinia la kashata na birika la kahawa timu nzur zimeshindwa kubeba birika na sinia angalau arsenal hajatoka kapa
Mimi nilisema sana juu ya Haaland kuwa ni striker ambaye angetupa UEFA champions League na yeye kubeba Balon D or.Katika hao wote me anayeniuma zaid ni Haaland ni km tulivyomkosa dinho.
Imagine team iliyochukua ubingwa juzi bado inafanya usajili ila ambayo haijachukua almost 10 yrs haijigusi.Mimi nilisema sana juu ya Haaland kuwa ni striker ambaye angetupa UEFA champions League na yeye kubeba Balon D or.
Haaland tungempata wakati wa dirisha dogo tungekuwa na timu lenye uwezo wa kufunga goli nyingi sana.
Hebu imagine chances anazotengeneza Bruno Fernandes halafu uwe na striker kama Haaland na Greenwood tungetisha sana.
But ilishapita hiyo tusubiri kuona akicheza Bayern au Real Madrid misimu miwili ijayo.
Man United ya sasa haina mwelekeo wowote ni kama Arsenal ya Arsene Wenger ambayo ilikuwa inaishi katika ndoto zisizo tekelezeka.
Halafu kitakachotokea ni timu kuwa ushubwada na next season tutaanza tena stori za kufanya rebuilding...Imagine team iliyochukua ubingwa juzi bado inafanya usajili ila ambayo haijachukua almost 10 yrs haijigusi.
Malengo ya UTD yamebadilika sana tangu SAF aondoke.
Hata big players wataanza kukosa mvuto wa kuja utd,Ushawishi pekee tulionao ni big salary tu kwasasa sio label.Ndio maana unaona tunahusishwa na wastaafu kama kina bale.Halafu kitakachotokea ni timu kuwa ushubwada na next season tutaanza tena stori za kufanya rebuilding...
Wakati hata mimi layman naona kabisa kama tungepata
•RW
•Straika proper
•CB
•Backup LB
Plus Proper training and coaching basi ubingwa ni wetu kuugombania..Lakini tunakoelekea hata nafasi ya nne tunaweza kugombania kama abiria wa daladala za Mbagala wanavyofanya wakati wakiwa wanarudi kwao..
Muda mwingine namuelewa Mourihno jinsi anapoweka mambo public pale ambapo aridhishwi na viongozi wa juu wanavyofanya kazi..
Greenwood sio winga na wala hajawahi kuwa Winga, hapa mna compare wachezaji wawili tofauti. Quality za Greenwood zote ni za finisher,Naunga mkono hoja yako.
Kwasasa ni bora twende na Green wood tu.
Nina imani dogo akipewa mechi za kutosha, mwakani hamna atakae kua na hamu na huyo jamaa (Sancho).
Tatizo United kama wangemsajili Halaand basi Bruno wasingekuwa na time nae tena.Mimi nilisema sana juu ya Haaland kuwa ni striker ambaye angetupa UEFA champions League na yeye kubeba Balon D or.
Haaland tungempata wakati wa dirisha dogo tungekuwa na timu lenye uwezo wa kufunga goli nyingi sana.
Hebu imagine chances anazotengeneza Bruno Fernandes halafu uwe na striker kama Haaland na Greenwood tungetisha sana.
But ilishapita hiyo tusubiri kuona akicheza Bayern au Real Madrid misimu miwili ijayo.
Man United ya sasa haina mwelekeo wowote ni kama Arsenal ya Arsene Wenger ambayo ilikuwa inaishi katika ndoto zisizo tekelezeka.
Good points.Greenwood sio winga na wala hajawahi kuwa Winga, hapa mna compare wachezaji wawili tofauti. Quality za Greenwood zote ni za finisher,
1. Greenwood average pass ni 16 kwa mechi
2. Greenwood average dribble ni 0.7
3. Greenwood average key pass ni 0.5
Hizo ni quality muhimu za kiungo wa pembeni Ajue kumchukua mtu na kumtoka, Ajue kutengeneza Magoli, ajue kupiga pasi etc zote Greenwood hana.
Greenwood ni striker, mwanzo mwisho ndio maana qualities zake ni za kiufungaji zaidi, Anashoot kulia na kushoto, mashuti yake ni ya Chini, anajua kufinya na Kufunga etc.
Man United kunahitajika Mtu wa maana kulia Anaejua kufunga, kutoa pasi za magoli na kutupa dimension nyengine ili tusitabirike.
Swala la Haaland mbona walisema jamaa walitaka kwenye mkataba wake waweke bei ambayo timu yoyote ikiifikia auzwe.Mimi nilisema sana juu ya Haaland kuwa ni striker ambaye angetupa UEFA champions League na yeye kubeba Balon D or.
Haaland tungempata wakati wa dirisha dogo tungekuwa na timu lenye uwezo wa kufunga goli nyingi sana.
Hebu imagine chances anazotengeneza Bruno Fernandes halafu uwe na striker kama Haaland na Greenwood tungetisha sana.
But ilishapita hiyo tusubiri kuona akicheza Bayern au Real Madrid misimu miwili ijayo.
Man United ya sasa haina mwelekeo wowote ni kama Arsenal ya Arsene Wenger ambayo ilikuwa inaishi katika ndoto zisizo tekelezeka.