Picha 20 bora za msimu katika mbio za Manchester United kuwa bingwa.
Chanzo:
Gallery of Manchester United 2012/13 season - Official Manchester United Website
RvP akishangilia goli dhidi ya Fulham
RvP akikamilisha "hat-trick" yake dhidi ya Saints.
Rafael akishangilia bonge la goli alilowafunga Liverpool. CC:
Mbu Caroline Danzi TIMING SG8
Evans akifunga bao la kichwa dhidi ya Toons
De Gea akiokoa mchomo ambapo ulipekea United kushinda 3-2 Darajani dhidi ya Chelsea
Chicharitoooo akishangilia goli la ushindi pale Darajani. CC:
Peasant Ab-Titchaz Invisible (shikamoo braza)
Chico akipiga goli dhidi ya Villa, goli zake 2 ndizo zilizoipa ushindi United katika game ya kwanza
Fletchy akishangilia goli dhidi ya QPR
Ando akipiga nyaya dhidi ya Reading
ndetichia and Co. lazima mpate mshtuko wa moyo kwa hii picha. Hapa ni RvP akipiga freekick iliyozaa bao katika ushindi wa 3-2 pale City of Manchester Stadium.
Dedicated to all Manchester City fans.
Chico tena dhidi ya Newcastle
SAF akishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya watani wetu wa ukweli, Liverpool
Wazza akifunga dhidi ya Fulham
"A unique freak" akiendeleza rekodi ya kufunga kila msimu wa EPL.
Mjep wa kwanza kushinda taji la ligi ya Uingereza. Katika miaka 3 ya soka lake Ulaya, ameshinda vikombe 3!
Master mwenyewe akishangilia goli dhidi ya Stoke
Baada ya ukame wa mabao, RvP akishangilia goli lake dhidi ya Stoke
" A sublime volley", waingereza wanasema, SAF mwenyewe kasema ni goli la karne!!
Furaha ya kikombe cha 20!!
Hapa naona picha dhidi ya Arsenal zimeachwa makusudi, kwani picha nzuri zitawekwa siku ile AW and Co. watakapotoa "a guard of honour" kwa mabingwa mara 20 wa ligi ya Uingereza. (Hii inawahusu mashabiki wa Arsenal,
Wacha kashengo Viper Balantanda Oxlade-Chamberlain BAK Mtazamaji Richard MwafrikaHalisi Wacha1 et al.)