Udhaifu.kwa mtiririko wa uandishi wako ni dhahiri ya kwamba arsenal hawafanani na sisi, kwa sababu united bado tuna uwezo wa kujificha kwenye hoja ya kipindi cha mpito ila udhaifu wa arsenal umedumu kwa takribani miaka 16 (si mpito tena bali ni kuporomoka)
hahahaaaaaa
mara ya mwisho kubeba ubingwa wa ligi ni 2003–04 (huo ndio udhaifu niliokusudia)Udhaifu.
Miaka 16.
Hakyamungu sijakuelewa.
Hakika Arsenal hawako kwenye mpito tena wako kwenye mporomoko tayari.kwa mtiririko wa uandishi wako ni dhahiri ya kwamba arsenal hawafanani na sisi, kwa sababu united bado tuna uwezo wa kujificha kwenye hoja ya kipindi cha mpito ila udhaifu wa arsenal umedumu kwa takribani miaka 16 (si mpito tena bali ni kuporomoka)
hahahaaaaaa
Kutuvalisha haya matambala Adidas wanatukosea sana mashabiki
Mkuu pia kuna ile "kitu kikiwa sio chako kuna namna una kizingatia"..maybe hiyo ndo sababu,don't forget about thatlabda unadhani sababu kubwa ni ipi?
juzi nimemuona ashley young kwa dakika 30, Inter milan hawakuwa wakimiliki mpira muda wote ila kilichokuwa kinanishangaza ni kumuona ashley young muda mwingi anakimbia na kuoverlapping.
nikawa najiuliza hii pumzi anaitolea wapi.
Ukweli ni kwamba Phil Jones toka asajiliwe United amekuwa fringe player tu kila msimu.1. Jones: 9 seasons completed, 224 games played (in all competitions), average of 25 games per season with his average dropping to 19 games per season in the last 5 years.
2. Bailly: 4 seasons completed, 83 games played (in all competitions), average of 20 games per season
3. Rojo: 5.5 seasons completed, 122 games played (in all competitions), average of 22 games per season
mpaka muda huu harry maguire ameshacheza mechi takribani 50
kama hizi takwimu zina ukweli basi hawa jamaa ni watumishi hewa
Adidas waache ujinga
Bailly nahisi kalogwa kijijini kwaoUkweli ni kwamba Phil Jones toka asajiliwe United amekuwa fringe player tu kila msimu.
Misimu mitano iliyopita huenda Phil Jones vitanda vya wagonjwa vya pale Carrington vitakuwa vinamtambua kwa sura na jina kiasi cha kumkumbuka asipovilalia.
Marco's Rojo na Bailly hizi nazo ni failed project na hazitatusaidia tena kwa hali ilivyo tuna kila sababu ya kuachana na Bailly tusajili beki mwingine wa maana badala ya kuwa na beki ambaye muda mwingi yuko kuuguza majeraha.
Uchezaji wa Bailly na Phil Jones hautofautiani sana wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani hivyo kuumia ni jambo lisiloepukika.Bailly nahisi kalogwa kijijini kwao
Jamaa ana gundu hatari.....
nilichojifunza:Adidas waache ujinga
Mbona wanawafyatulia Arsenal kits kali?..iweje sisi tuletewe home kit ya 2020/2021 ambayo ni mfanano wa 2017/2018 away kit?
Si ndio ile mechi tulicheza mabek wa kati i wa3 nyuma ?Uchezaji wa Bailly na Phil Jones hautofautiani sana wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani hivyo kuumia ni jambo lisiloepukika.
Kama uliangalia mechi ya Man united na Shelfield ya 3 -3 Phil Jones alianguka mara nyingi sana nilitegemea akitoka uwanjani lazima awe hospitalized ni kweli toka mechi hiyo hajawahi kuonekana uwanjani tena.
Hiyo mechi hajawahi kuonekana popote hata kwenye benchi sijui alipata injury kubwa kiasi ganiSi ndio ile mechi tulicheza mabek wa kati i wa3 nyuma ?
Nakumbuka alikuwa anaanguka km vile hana kichwa !!!!
Pia ile mechi hakumaliza dk 90Hiyo mechi hajawahi kuonekana popote hata kwenye benchi sijui alipata injury kubwa kiasi gani
Nilifuatili nikaona sehemu kuwa Adidas ndo wanaosimamia kila kitu kuanzia kudesign..lakini Puma wanaodesign ni designers wa timu wakishirikiana na wa kampuni..but i'm not 100pc sure about thatnilichojifunza:
man utd tumekuwa na desturi ya kujitofautisha na team nyenginezo kwenye ishu ya designing ya jersey.....
angalia jersey za real madrid na AC milan (miaka yote zinakuwa na mfanano fulani) na wote wapo chini ya adidas kama sisi.
lakini ukija kwetu ni uhuni mtupu, material yanayotumika yanaweza kuwa ni ya kisasa lakini muonekano wa jezi mbele ya hadhira ukawa unatia shaka.
designer wa jezi ni kampuni au timu husika?
Ninachoona jezi ya Arsenal ni kali kutokana na rangi zake, nyekundu na nyeupe ni combo moja ya hatari sana. Hii jezi yetu full red na vi-stripe vyeupe vya adidas havina mvuto.Adidas waache ujinga
Mbona wanawafyatulia Arsenal kits kali?..iweje sisi tuletewe home kit ya 2020/2021 ambayo ni mfanano wa 2017/2018 away kit?
Rubbish
Hata Allylabda ole ajifiche kwenye hoja ya kucheza na passing, kwenye hoja ya kulinda smalling ni bora zaidi kuliko lindelof na tuanzebe