Lile ni kombe, timu huwa zinasifika kwa kubeba makombe. Sio kuingia top4.
United kubeba Europa, kunaijengea timu mentality ya ushindi.
Kwenye timu yetu ni wachezaji wachache sana wamewahi, kupambana hadi kubeba makombe, Matic na De gea(ngazi ya club).