Chifu, upo ngazi ama unanusanusa maji machafu? Maana ni kama huelewi ninachokisema na unachokiandika.Anyway, ngoja nikueleweshe.Wewe ulianza kwa kukejeli kichwa cha uzi kwamba, siku Man United sio tena hatushikiki bali tunashikika sana.Mimi nikakwambia, pamoja na hilo ulilolisema, United ndiyo tunaenda kuwa mabingwa wa EPL kwa mara ya 20.Wewe ukaja na stori kwamba,ubingwa siyo ishu, kinachoangalia ni rekodi ya game to game (kumbuka chanzo ni matokeo ya juzi dhidi ya City). Na baadaye ukaja na kusema kwamba kwa rekodi hiyo, Chelsea na City waliifanya United vibaya na hivyo kupelekea Uingereza nzima kuwa bluu.Mimi nikakuuliza, kwani umesahau matokeo ya awali ya msimu huu? Nikianza na City, nikasema: City tuliwapiga kwao 3-2 kwa RvP kufunga bao ushindi kwa freekick katika dakika za mwisho mwisho. Hivyo tukienda kwa mtazamo wa game to game, United tunaibuka kidedea kwa goli la ugenini, kwao wao City walitufunga 2-1 pale OT. Sasa hapo ubluu unatokea wapi? Kumbuka na bado tunaongoza ligi kwa pointi 12 zaidi ya City!!Nikaenda kwenye upande wa Chelsea, nikasema: Chelsea tuliwafunga 3-2 pale darajani (tarehe 28 Oktoba 2012) katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi, na goli la Chicharito katika dakika ya 75. Na game ya mzunguko wa pili ndiyo inapigwa tarehe 4 ya Mei pale OT. Sasa huo ubluu unatokea wapi?Kwa maana ukija na mtazamo wa game to game, bado Chelsea na City kwa United ni nyanya msimu huu. Pia ukija na mtazamo wa historia, bado timu hizo ni nyanya kwa United.Ukija kwa mtazamo wa wingi wa mashabiki na wapenzi, timu hizo zinaendelea kuwa nyanya.Hata kwa mtazamo wa utajiri wa klabu, bado mnaendelea kuwa nyanya.Hata kwa rekodi katika EPL, UCL, FA, World Clubs etc. bado timu hizo ni nyanya kwa United.Vile vile hata kwa ubora wa timu katika Ulaya (United ni ya 4 baada ya Barcelona, Real Madrid na Bayern Munchen), bado timu hizo ni nyanya.Sasa huo ubluu katika Uingereza nzima unatokea wapi? Chifu, hizo timu zenu huwezi kuziweka daraja moja na United; hizo bado ni timu ndogo sana - wee clubs - katika kila kitu kwenye soka.
Current run of games? What do you mean by that? In a single game perspective there can't 'a current run of games'.I was referring to your current run of games...between nyie na sisi na man city!!!!
Again kwa kumaliza mjadala huu, ligi si sawa na mbio za akina Usain Bolt; ni mbio za Marathon za kina Haile. Cha mwisho acha kukimbia na kuchanganya mada; mada yangu toka mwanzo ilijikita kwenye EPL. Lakini kutokana na unyonge wenu kwa United ukaanza kurukaruka na kutaka nizungumzie na kikombe cha mbuzi (zamani Carling Cup).Man Utd... Red Devils Hatushikiki na daima tutaendelea kutoshikika hadi vijitimu vyenu vitakapokuwa na historia.Again...bila kuangalia ligi gani mmecheza..basi kwa msimu huu mmekuwa 'nyanya' wetu zaidi maana it can easily be concluded kwamba ile first round was a simple fluke!!!
Current run of games? What do you mean by that? In a single game perspective there can't 'a current run of games'.Again kwa kumaliza mjadala huu, ligi si sawa na mbio za akina Usain Bolt; ni mbio za Marathon za kina Haile. Cha mwisho acha kukimbia na kuchanganya mada; mada yangu toka mwanzo ilijikita kwenye EPL. Lakini kutokana na unyonge wenu kwa United ukaanza kurukaruka na kutaka nizungumzie na kikombe cha mbuzi (zamani Carling Cup).Man Utd... Red Devils Hatushikiki na daima tutaendelea kutoshikika hadi vijitimu vyenu vitakapokuwa na historia.
Mkuu Mleta uzi ameleta sababu zake kwanini Man u inatisha, inakupasa nawewe ulete ushahidi wako wa kwanini Arsenal inatisha.Watu bwana,
Narudia tena- yabidi (hata kama hamtaki) kuyatambua mambo makali ya Arsenal- ni kuwa inatisha! Je mueleweshwe hadi lini ninyi watu muweze kutambua?
Ingekuwa rahisi kwanini nanyinyi msibebwe?Mnabebwa nyie hamna lolote!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Timu ni nzuri ila wakati mwingine maamuzi ya babu yanazingua hasa "Substution" zake ikiwa Man inaongoza kwa mabao zaidi ya 2 huwa hazieleweki. Babu mwenzie Wenger yeye amechagua mpira wa chenga na kuuza wachezaji kama watumwa vikombe hataki, na hataki kushaurika.Ngongo umezungumza kitu cha msingi, Ferg anatakiwa anunue viungo wa ubora wa dunia, kila tokea roy keane astahafu atujawai pata kiungo wa kuziba nafac yake, nashangaa kocha mwenye akiri nyingi like ferg alioni/achukui hatua madhubuti na hili jambo, tumepoteza final mbili za UCL dhidi ya barca kwasababu ya viungo, tumepoteza game ya madrid kwasababu ya viungo, tumepoteza game ya chelsea na man city kwasababu ya viungo, ferg take action
Kweli mpo kwenye BLUE kama ile ya MONDAY maana sioni unachojivunia. Yaani kushinda hivyo vijimechi vitatu mfululizo vikiwemo na vya kombe la mchangani la Europa ndio mnapata midomo ya kuongea, ama kweli kuna mashabiki wana vichwa vigumu kukumbuka na vyepesi kusahau kama wewe.
Historia historia historia....hata bibi kizee was once a very beautiful young lady!!!
THE WHOLE OF ENGLAND IS BLUE....:A S shade:
Haya mengine ni maneno tu hata kwenye kanga yapo. Cha msingi umeshaelewa somo.Hahahaha sasa ivi mmekikosa mnakiita kikombe cha mbuzi..lol!!! aisee...Hata mngekosa EPL bado mngekiita cha kuku...khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee...apo bado hatujaweka ref assists!!!! acha kabisa wewe.....:tape2:
mANU BANA..MSIFUNGWE MECHI MOJA MNANUNAJEEE.....KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
hUYO SOTON KESHAKUFUNGA HATA WEWE..SIONI LA AJABU.
HATUGOMBANII NAFASI YA NNE...WE AINT ARSENAL..
TUNAMALIZA MSIMU NA TWO CUPS (ACHA MAMBO YA SUNGURA NA SIZITAKI MBICHI HIZI) SO KAMA NI CUPS ZIPO NA USHINDI UPO...TUMEWAFUNGA TWICE AS COMPARED TO YOU!
KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Sisi hatujivunii kushinda game moja au mbili kama wewe, sisi tunajivunia kunyanyua makombe tu, isitoshe hizo game ulizonifunga/mnazotufunga mnakamia ile mbaya, were are united 20 trophy, ukitaka habari zetu zaidi nenda ukamuulize Looser poor aaahhh hapana sorry nimekosea i mean Liverpool. glory glory
kombe moja per msimu!??
Yes moja EPL, wewe ulitakaje?
RVP for the title.............. Babu kashangilia sana20 no. of shirt, 20 goals, 20th title