Hilo halipingiki mkuu, heshima ya Bruno ipo palepale. Ameturudisha tunapostahili.Fernandez ndo "reason" kwann tumefika top 4 msimu huu..usajiri wake umeibadilisha utd kbs..plus goals and assists..Fernandez ana-deserve heshima ya kutosha mkuu.
Bruno Fernandes ana heshima kubwa sana kutoka kwangu.Lugha tu ndio imeonyesha sijui mchango wake ila mchango wake nautambua na unatambulika kwa kila shabiki wa Manchester United. Ila nilichokuwa na-refer ni kutokana na comment ya mdau pale juu kuwa Sancho akitua Rashford atakosa namba.
Ndio nikaongezea kuwa Rashford ndio mchezaji wangu bora kwasasa ukiachana na yote aliyofanya Bruno (kwa heshima kubwa) naona Rashford msimu huu ameongeza juhudi ukiangalia tokea ameanza 2015/16 mpaka leo anazidi kupanda.
Mashabiki wa Manchester pigeni Ignore Block hili dubwana lililopewa simu ya tecno na shemeji Yake.
Hakuna chances nyingi zilizotengenezwa jana na viungo na full backs..ni lazima tuone washambuliaji ni butu..Martial na Greenwood walifanya kazi yao sawa tu,labda shida iwe kwa Rashford..Yap,, kwa mchezo wa Jana Pogba alikuwa vizuri na naona anaanza kurudisha imani yake kwa mashabiki! Nilimuangalia sana alijitahidi kutulia na kufikiri! Nilimshuhudia Mara kadhaa akigeuza uelekeo wa mpira kwa maslahi ya united na kutengeneza nafasi pamoja na kutoa pasi za maana japo kuna wakati alionekana kuwa mzito kidogo!
.
Tatizo washambuliaji wetu ni butu sana
Usizidishe sana mahaba..Rashford LW, Sancho RW. Rashford hawezi kukosa namba kikosi cha Man. Utd ni msimu tu umemuishia vibaya ila he's one of my favorite ukiachana na hao wakina Greenwood sijui Fernandes. Jamaa anabadilika kwenda juu, natumaini msimu ujao atazidi kupanda zaidi.
OGS mwenyewe afanye assessment ya benchi lake la ufundi na kulifanyia uboreshaji. The whole defending system yetu inamatatizo ambayo yameishabainika kwa washindani wetu.Sahau kuhusu kocha..ngoja tumpe muda tuone..
Pogba haendani na mfumo wa attaching football. ana pasi fulani hivi amazing sana, lakini anatuliza poza sana temp ya team na anapoteza mipira kiajabu ajabu sana.Shida ni unamuuza pogba unamleta nani wa level zake?
Labda tusajili kwanza then auzwe but i wish kumwona pogba next season.
Martial amebadirika kitu kimoja tu, tena nadhani ni maamuzi ameamua kufanya. kakubali kuumia ni sehemu ya mpira hivyo kaacha kuogopa kuumia basi. anacheza mpira wake with passion.Ila Martial kabadilika sana sasa hivi nadhani msimu ujao atakua vizuri akiendelea kuongeza juhudi kama anavyofanya sasa.
Ishu ya penati sijui kwanini watu wanaongea sana lakini ukiwa na watu wenye pace kama kina Martial na Rash halafu una mtu mwenye pasi za uchokozi kama Bruno lazima mabeki wafanye rafu tu hamna namna.
Kupata penati nyingi maana yake strikers wetu wanapenya sana kwenye box la wapinzani so tuko vizuri.
Hello PETER, unajua imekuchukua nguvu gani kurudi top 4Tumefika nafasi ambayo Leceister walikuwa wametutunzia.
Chelsea wamebaki kwenye position yao waliokuwa wanaipigania.
Tukutane next season kwajili ya EPL Liverpool wajiandae kurudisha kombe katika jiji la manchester.
Yaani ulivyoandika "sijui fernandes" ni kama umemshusha hivi kwa sababu huoni mchango wake ukilinganisha na rashfordRashford LW, Sancho RW. Rashford hawezi kukosa namba kikosi cha Man. Utd ni msimu tu umemuishia vibaya ila he's one of my favorite ukiachana na hao wakina Greenwood sijui Fernandes. Jamaa anabadilika kwenda juu, natumaini msimu ujao atazidi kupanda zaidi.
Asikusumbue huyo, swain tuUsiingie jukwaa hili kama hutaki quote
Eti kubahatisha!! Yaan wewe unataka kuniambia 2018 mourinho alianza ligi akiwa nafasi ya 1 alafu baada mechi 6 nakumbuka nakumbuka alishuka nafasi ya pili mpaka ligi inaisha yupo nafasi ya pili , alafu wewe unasema hiyo ni kubahatisha. Basi na nyie ubingwa 2015 mourinho alibahatisha. Alafu sisi hatukuwa kuwa kwenye hizo za ajabu sijui no 10 au 9 au 11,,, Hizo ni nyie na Liverpool tu .Hello PETER, unajua imekuchukua nguvu gani kurudi top 4
Usajili wa BIG Money ya akina Pogba, Sanchez, Bruno
Ujio wa MOU mkabahatisha no. 2 na ile timu mbovu ya akina Jesse Lingard ndio mastaa, Chris Smalling defender
Nikukumbushe tu
Miaka sita nyuma nusu UEFA nusu Europa
- 2015 namba 4
- 2016 namba 5 uropa
- 2017 namba 6 uropa
- 2018 namba 2
- 2019 namba 6 uropa
- 2020 namba 3
Chelsea ya BAN, bila Hazard, bila usajili wa Januari, Kocha mgeni EPL
Katika miaka sita iliyopita tumechukua ubingwa mara 2, Europa mara moja na tumeshiriki UEFA mara 4
- 2015 namba 1 Bingwa
- 2016 namba 10 MOU OUT
- 2017 namba 1 Bingwa
- 2018 namba 5 Europa - Bingwa Europa
- 2019 namba 3
- 2020 namba 4
Kwa stats hizo, Man u mpo ndani na nje kila mwaka
Mwaka huu mmebahatisha ila mwakani mtarudi kwenye chumba chenu cha Europa
Soma basi nilichokiandika na ujibu kwa mukadha huo, akina Ziyech na Timo nani kataja hapo au ndio hofu imeanza nini. Kwa mafanikio ya Chelsea na Man U katika miaka hiyo sita inaonyesha wazi sisi ni wa makombe na nyie ni OFF and On kwenye UEFA LeagueEti kubahatisha!! Yaan wewe unataka kuniambia 2018 mourinho alianza ligi akiwa nafasi ya 1 alafu baada mechi 6 nakumbuka nakumbuka alishuka nafasi ya pili mpaka ligi inaisha yupo nafasi ya pili , alafu wewe unasema hiyo ni kubahatisha. Basi na nyie ubingwa 2015 mourinho alibahatisha. Alafu sisi hatukuwa kuwa kwenye hizo za ajabu sijui no 10 au 9 au 11,,, Hizo ni nyie na Liverpool tu .
Pia Chelsea kusajili wakina Ziyech na Timo Werner sio chanzo cha kuwa mtarudi kutetea ubingwa, maana Uingereza walishakuja wengi ila wakawa chini ya kiwango na kupotea bila mafanikio na kurudi ligi zao.
Ulivoanza mwanzo nilikuona unajua kupangilia ila ulivomalizia ndo nimeona we shabiki maandaziHello PETER, unajua imekuchukua nguvu gani kurudi top 4
Usajili wa BIG Money ya akina Pogba, Sanchez, Bruno
Ujio wa MOU mkabahatisha no. 2 na ile timu mbovu ya akina Jesse Lingard ndio mastaa, Chris Smalling defender
Nikukumbushe tu
Miaka sita nyuma nusu UEFA nusu Europa
- 2015 namba 4
- 2016 namba 5 uropa
- 2017 namba 6 uropa
- 2018 namba 2
- 2019 namba 6 uropa
- 2020 namba 3
Chelsea ya BAN, bila Hazard, bila usajili wa Januari, Kocha mgeni EPL
Katika miaka sita iliyopita tumechukua ubingwa mara 2, Europa mara moja na tumeshiriki UEFA mara 4
- 2015 namba 1 Bingwa
- 2016 namba 10 MOU OUT
- 2017 namba 1 Bingwa
- 2018 namba 5 Europa - Bingwa Europa
- 2019 namba 3
- 2020 namba 4
Kwa stats hizo, Man u mpo ndani na nje kila mwaka
Mwaka huu mmebahatisha ila mwakani mtarudi kwenye chumba chenu cha Europa
Point kubwa sana..Hatutatakiwa na offs and ons nyingi msimu ujao..na work rate ni lazima iwe na standard ambayo ni lazima ifikiwe kila mechi no matter what.Pamoja na michango ya wadau wengi humu,kitu kimoja kinanikera juu ya hii united ya ogs. Work rate ya timu imekuwa ikipanda na kushuka kutokana na mchezaji husika anataka kuchezaje siku hiyo na sio kama anavyotaka mwalimu.
Kitu ambacho ninakiona kwa Liverpool na city ni work rate yao kuwa juu muda wote kwenye kila game na matokeo yake wanafanikiwa kuutawala mchezo. Mara zote timu ambazo zimetupatia shida kiuchezaji ni uwajibikaji wao tu na wala sio ufundi mwingi sana.
Natamani ole alifanyie kazi hili msimu ujao ikiwamo kufanya sub mapema kwa key players pindi wanapokuwa off,sema sijui kama anauthubutu huo.
GGMU.
5 years Past Performance will never Guarantee your Team's next year future best ResultsSoma basi nilichokiandika na ujibu kwa mukadha huo, akina Ziyech na Timo nani kataja hapo au ndio hofu imeanza nini. Kwa mafanikio ya Chelsea na Man U katika miaka hiyo sita inaonyesha wazi sisi ni wa makombe na nyie ni OFF and On kwenye UEFA League