Game la leo lilikuwa muhimu sana kuingia top four. Hii draw imetuweka pabaya. Sasa tunategemea matokeo mabaya kwa Chelsea mechi zote mbili au kutofungwa na Leicester kitu ambacho ni kigumu kwa hali tuliyo nayo kwa viwango vya wachezaji.
Kuna wachezaji hawapaswi kuwa first 11. AWB amecheza hovyo sana mechi za karibuni hapa.