Manchester United (Red Devils) | Special Thread

@BelindaJacob and @Co hongereni sana kwa kuwa mabingwa wa msimu huu. I don't see any scenario for MANC to compete with you and in my opinion Mancini don't deserve to be back next season.
 
@BelindaJacob and @Co hongereni sana kwa kuwa mabingwa wa msimu huu. I don't see any scenario for MANC to compete with you and in my opinion Mancini don't deserve to be back next season.

Kuweni na subira jamani Mancini aende wapi tena? Mwaka jana tu kawapa ubingwa muwe na uvumilivu ndo mpira
 
Unataka wawe na subira kama sisi na AW!? Watalia kilio cha mbwa mdomo juu. Kachezea shilingi chooni kwa maamuzi yake mbali mbali ambayo yameigharimu timu kushindwa kutetea ubingwa wao.

Tatizo kubwa la Man City ni mtazamo wa tajiri wa kutaka kushinda tu kwa kutumia fedha nyingi kununua famous players badala ya kutengeneza timu taratibu.
 
Mn U v/s Reading

United: De Gea; Smalling, Ferdinand Vidic, Buttner; Welbeck, Giggs, Anderson, Young; Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Evans, Valencia, Hernandez, Carrick, Powell, Kagawa.
Reading: Taylor, Shorey, Kelly, Pearce, Mariappa, Karacan, Leigertwood, McAnuff, McCleary, Robson-Kanu, Hunt. Subs: McCarthy, Gunter, Harte, Morrison, Akpan, Blackman, Le Fondre
 
haya mashabiki wa man utd tuanze kabisa kupanga sherehe ya ubingwa itakuwa wapi!ngongo atakuja akiwa kavaa jezi ya arsenal halafu tutamvua na kumvisha rasmi jezi ya man utd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…