Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho kaishiwa mbinu kabisa Spurs imekuwa timu ya hovyo kweli
 
Timu imecheza vizuri ila wings hazikufanya kazi yake sawa sawa.

Hasa right wing James alikuwa off game kabisa.

Rashford kushoto hakuwa lethal pia kiasi cha kumnyima uhuru Aurier.

SHAW alikuwa off game first half but second half alikuja vizuri sana.

Bissaka eneo lake second half ameshindwa kulitumia na Totenham walimpa hiyo operating space kwa sababu hana madhara front but ingempa nafasi Son ya kuwa free all the time.

All in all game ilikuwa nzuri sana kuitazama.
 
✓Pogba ni most talented player we have..Hands down

✓Rashford na Martial walikuwa rusty today..Tunahitaji striker wazee

✓Pogba na Bruno wameonyesha wanaweza kucheza pamoja..Kazi sasa kwa Ole kukamilisha hicho kiungo

✓James is useless..Greenwood ni lethal kushinda yeye..Tuanze kumwanzisha Mason

✓The form of David de Gea is dropping,and it's really worry me

✓Maguire ile blunder hakupaswa kuifanya..yeye ni kiongozi inabidi awe mfano na sio kucheza kama David Luiz

✓Spurs walikuwa hovyo tu na sisi pia tulikuwa rusty..3 month without football match may be a reason

Next Shiefield United

GGMU
 
Upo sahihi mkuu tuna mahitaji makubwa sanaa na wing upande wa James bissaka sio Mzuri kwa attacking abakie tu na majukumu yake ya kuzui tu
 
eti luiz
 
Acha kutulisha pumba wewe, man city alivyoshinda jana ana cheza mpira kila siku? Kubalini timu lenu ni takataka na Europa itawausu tu akina namuna!

CFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…