dah! it looked cash reserved imepungua...........ikiwa klabu nyengine nazo zitapata athari kubwa ya kimapato kama ilivyo au zaidi ya manchester united basi huenda ikawa ni nafuu kubwa sana kiupande wetu.
tunahitaji kuingiza wachezaji wapya kwa njia iliyozoeleka, dhana ya opportunity cost haitufai kiupande wetu.
kwa mfano: tunamtaka jadon sancho lakini tumuondoe paul pogba ili kubalance matumizi.
jesse lingard, phil jones, marcos rojo, alex sanchez na chris smalling.
tuombe Mungu soko lijalo liwe rafiki kiupande wetu, nikimaanisha tupate wateja sahihi wa kufanya nao biashara tajwa hapo juu
Chief financial officer Cliff Baty said they are set to hand back £20m in TV revenue to broadcasters even if the Premier League season is completed.
kupitia sentensi hiyo hapo juu nahitaji msaada wenu, ni sababu zipi zitakazopelekea klabu kurudisha kiwango hicho cha fedha even ikiwa ligi itamaliza.
Very true kama ile rooney anaipiga tiktaka mbele ya vincent company kitasa akina droga wamempa shida sana nemanja vidic tores ndio usiseme, mastraika wa siku izi nyoronyoro sana akina martial , aubemayang nk