Wakitumia mfumo anaotumia Diego Simieone wanaweza kuwatumia pamojaOle alisema benchi la ufundi lina-figure out ni jinsi gani watawabeba Bruno na Pogba kwa muda mmoja..Sasa sijui ni nani kati ya McTominay,Fred na Matic ataanza kwenye CDM..Maana naona itakuwa ngumu kucheza na viungo wanne..Maybe inawezekana,let's wait and see.
Matic +Fred wamefanya tuwe na ngome ngumu kiasi..wapo vizuri defensively,kuharibu tena hii combo sijui itakuwaje
Siku EPL ikirejea hope itakuwa siku nzuri sana kwangu
CC Babumaweole simwelewi kabisa..... hatuwezi mpata TOny pulis? yule jamaa anaweza tupa uefa na epl ndani ya mwaka
Sent using Kirikuu
Anachezea wapi huyo? Kama uko na Video clips zake tupia tumuoneole simwelewi kabisa..... hatuwezi mpata TOny pulis? yule jamaa anaweza tupa uefa na epl ndani ya mwaka
Sent using Kirikuu