Nausubiri mchapo wa MANU VS Real Madrid kwa hamu kubwa. Natumai referee hataharibu mechi hiyo kwa kufanya maamuzi yasiyohusu. Inawezekana ukawa mchezo ambao soka litakaloonyeshwa litakuwa la hali ya juu na kukumbukwa kwa miaka mingi ijayo na mshindi wa mechi hiyo si ajabu ndiye akawa bingwa wa UEFA.. BelindaJacob & Company msikose kuzuka jamvini katika kuifuatilia mechi hiyo kwa karibu.
ndio n kweli, man 2 inter 0Unaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi,mwaka 2009 wakati Mourinho akiwa Inter alifungwa na Manu OTBy ANKOJEI
salamu zenu kutoka spai, ndan ya wiki moja barcelona wamenyukwa ngili 5 na madrid, wakarudisha chenji soo2 , owk ngojea iyo j5 tuone nan mjanja.
NOTE. jose hajawahi fungwa old traford!
ManU 2 Inter Milan 0
VIDIC na CR7 walifunga magoli yote ya vichwa,game ya kwanza Italy iliisha droo ya bila kufungana
Pole sana.
Ndio madhara ya kuanza kuangalia mpira enzi za digital era.
BAK yaani mmetupania kweli..tutakuwa hapahapa tukifuatilia mtanange!! kweli siwezi kufanya prediction yoyote kwa hiyo mechi..I hope tuwararue Real Madrid, ha ha..Pamoja sana besti, uwepo na wewe jamvini kutupa presha kidogo..cheers!!!Nausubiri mchapo wa MANU VS Real Madrid kwa hamu kubwa. Natumai referee hataharibu mechi hiyo kwa kufanya maamuzi yasiyohusu. Inawezekana ukawa mchezo ambao soka litakaloonyeshwa litakuwa la hali ya juu na kukumbukwa kwa miaka mingi ijayo na mshindi wa mechi hiyo si ajabu ndiye akawa bingwa wa UEFA.. BelindaJacob & Company msikose kuzuka jamvini katika kuifuatilia mechi hiyo kwa karibu.
BAK yaani mmetupania kweli..tutakuwa hapahapa tukifuatilia mtanange!! kweli siwezi kufanya prediction yoyote kwa hiyo mechi..I hope tuwararue Real Madrid, ha ha..Pamoja sana besti, uwepo na wewe jamvini kutupa presha kidogo..cheers!!!
Nadhani na mkuu Mentor umenisoma, tunaweza kuwashangaza Real!!!..huh
BAK yaani mmetupania kweli..tutakuwa hapahapa tukifuatilia mtanange!! kweli siwezi kufanya prediction yoyote kwa hiyo mechi..I hope tuwararue Real Madrid, ha ha..Pamoja sana besti, uwepo na wewe jamvini kutupa presha kidogo..cheers!!!
Nadhani na mkuu Mentor umenisoma, tunaweza kuwashangaza Real!!!..huh
Pole sana.
Ndio madhara ya kuanza kuangalia mpira enzi za digital era.
Hahah...mi ntakuwa hapa lazima....ntawachekaje ila sio kwa ubaya lazima kufungwa kesho..hilo ata nyie mwalitambua.
Ahaaa! Kumbe mna wasiwasi eeh!? Mie lazima nizuke jamvini, kuwapa pressure. Umewaona lakini Real wanavyokipiga!? Speed yao si ya kawaida utadhani wamefunga mota vifuani mwao. Wakicheza kwa speed basi nyie MRIE TU kesho ndio mwisho wenu muanze kuconcentrate kwenye EPL.
Real yatamkuta yale ya As Roma 7 pale OT
Na Kocha waliporudi Italia kazi ikaota mbawa.
Lete raha Man U.
Real yatamkuta yale ya As Roma 7 pale OT
Na Kocha waliporudi Italia kazi ikaota mbawa.
Lete raha Man U.
Kweli adui mwombee njaa!!..tuone kesho ikifika, nitakuwa nimetulia zangu kwenye telly na midadi isiyoelezeka!!
Ndiyo maana nime-admit mapemaaa kuwa mechi itakuwa ngumu...vyovyote vile kesho nami nitakuwa nimejaa tele mtani wangu..sipati picha mtakavofurahi mtaa wa pili maana mmh!!..Eniwe, meet you here tomorrow..sawa BAK??!!!
mtaliwa tu it gona be real3 manu2 on agregate, magol yote ya man u yatafungwa na sio maforward, na red card mnayo ya yule dogo upande wa kushoto… tehetehe