Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee hata mimi natamani sana tuboreshe huu upande wa kulia kuliko kitu chochote..Tukimsign Sancho tutakuwa tumefanya big moves..

Hata mm naona hivyo ukizingatia kuna martial,rashford,ighalo na greenwood pia kuna wakina angel gomes na chong hawawez kuendelea kusubir kule yatakuwa ya pogba ni bora kumuacha harry kane kwa sababu hao madogo toka waanze kucheza na ujio wa bruno ufungaj kidogo sio tatizo ni suala la mtu wa spid kama james
 
Wewe jamaa haueleweki unachotaka juzi juzi hapa ulisema tunahitaji kusajili wachezaji calibre ya Neymar, Mbappe Harry Kane & Co na ukatanabaisha kuwa timu yetu imejaa watoto wengi leo tena unakuja na hoja ya kuwakubali watoto kina Chong,Gomez, Greenwood!!!

Au wameshakuwa watu wazima tayari ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza kumfuatilia Grealish lini?

Au wakati Samatta anaenda Aston Villa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha umenchekesha sana ulivyohoji kama wameshakuwa watu wazima ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Uholanzi wamefuta msimu kabisa,

Ufaransa Serikali imesema hadi Septemba ndio kuna uwezekano wa League 1 na League 2 kurejea hata mechi kuchezwa bila mashabiki

Uingereza vifo na maambukizi ndio vimeongezeka kwa kasi kubwa wiki hii

EPL kurudi bado ni mtihani wakuu

Watu wanaendelea kupigania uhai, hivyo soka haiwezi kupewa kipaumbele kwa sasa

Tuendelee kujiahadhari kwa mbinu za kisayansi dhidi ya Covid 19, lakini tusisahau kumuomba Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ligi kwa epl ndo imeshaisha hiyo
 
Hapana hyo ya September means ni msimu mpya. Ya msimu huu wameifuta na suala la ligi imeishaje, bingwa yupo au hayupo, timu zitashuka na zingine kupanda n.k itajulikana mwezi Mei baada ya maafisa Wa chama chao cha soka kukaa kikao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…