Tunaumia sana aisee...tunamiss burudani kwa kweli
Aisee Sergej Millinkovic Savic, Jack Grealish, James Madisson, Jadon Sancho, Kai Harvetz.
nyama sn huyu mtu nashangaaa wsnamuacha kirahis anaenda liva
Hatuwezi kusajili kila mchezaji ambaye anaweza kuwepo sokoniM
nyama sn huyu mtu nashangaaa wsnamuacha kirahis anaenda liva
Sasa watu wanaanza kuwaza vizuri.Hata kwa Jersey sidhani ana skendo nyingi sana halafu siyo fan favourite kihivyo.
Ila Ukimsajili Kylian Mbappe unakuwa umepata mchezaji na mapato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Jack Grealish mmemuona kwa mechi ngapi mpaka muone anafaa??Aisee Sergej Millinkovic Savic, Jack Grealish, James Madisson, Jadon Sancho, Kai Harvetz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumkubali Grealish ila kwa tetesi inaonekana ndiyo Favourite signing inayofautia pale United.
Naomba update, sancho news iliishia wapi?Sijawahi kumkubali Grealish ila kwa tetesi inaonekana ndiyo Favourite signing inayofautia pale United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ed anasema hategemei kuspend 100+ kwa msimu huu kutokana na COVID 19 impact.Sijawahi kumkubali Grealish ila kwa tetesi inaonekana ndiyo Favourite signing inayofautia pale United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho kuna tetesi nyingi sana ni gumu kusema ipi ni sahihi na hatua ipi imefikiwa after all hatuko kwenye dirisha la usajili.Naomba update, sancho news iliishia wapi?
Hahaha kama ni winger tu huyo Grealish huenda akaja United.Ed anasema hategemei kuspend 100+ kwa msimu huu kutokana na COVID 19 impact.
Nafikiri inawezekana akaja huyo jamaa maana anaonekana ni bei chee,by the way Solskjaer ni mzuri kwenye usajili alichobakiza ni kufanya capacity development kwa aliowasajili waweze kuleta vikombe.
**Mbappe is real deal**
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante.Sancho kuna tetesi nyingi sana ni gumu kusema ipi ni sahihi na hatua ipi imefikiwa after all hatuko kwenye dirisha la usajili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ed anasema hategemei kuspend 100+ kwa msimu huu kutokana na COVID 19 impact.
Nafikiri inawezekana akaja huyo jamaa maana anaonekana ni bei chee,by the way Solskjaer ni mzuri kwenye usajili alichobakiza ni kufanya capacity development kwa aliowasajili waweze kuleta vikombe.
**Mbappe is real deal**
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul simwamini tena anaweza vuruga umoja wa team.Ni sahihi sana kuwa na wachezaji wanaojitoa kwaajili ya team sio umaarufu tu.Keep Paul add Grealish na world class striker kama Auba hivi tunamchukua pale Arsenal chaap tu kwa bei poa inatosha kabisa hiyo.
Offload Jones, Pereira
Next season tunakua title contenders wazuri kabisa na Aubameyang anakuja topscorer.
Wapinzani watajuta sanaaa