Amekwepesha miguu angeiacha mpira ungemgonga ingekuwa off sideLile ni goli sema basi VAR imetubeba.
Acha kujifariji mkuu, hauna timu ya kuingia top 4 gari la mkaa trip gereji trip shamba.
Mkuu hebu tuelezee vizuri, maana hata hawa pundits wamezungumzia kitu hicho. Ni sheria ipi?? Kwani sheria ya offside si hadi anayehusika moja kwa moja na mpira ndo awe offside ndo inakuwa?? Kwanini hii imekuwa tofauti???Amekwepesha miguu angeiacha mpira ungemgonga ingekuwa off side
Ila huyu Martial ajifunze kwa washambuliaji wa team zingine maana anatu cost sana baadhi ya mechi
Nadhani umeona impact yake ndani ya dakika 10!! Kuna kijamaa kimecheza dakika 85 hakuna hatari yoyote aliyoonesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu hata mimi nimeona, wakishinda game mbili tu pumzi inakataBado ugonjwa wa kushinda mechi tatu mfululizo za EPL haujapona.
Mkuu hebu tuelezee vizuri, maana hata hawa pundits wamezungumzia kitu hicho. Ni sheria ipi?? Kwani sheria ya offside si hadi anayehusika moja kwa moja na mpira ndo awe offside ndo inakuwa?? Kwanini hii imekuwa tofauti???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyu Martial ajifunze kwa washambuliaji wa team zingine maana anatu cost sana baadhi ya mechi
Mkuu hebu tuelezee vizuri, maana hata hawa pundits wamezungumzia kitu hicho. Ni sheria ipi?? Kwani sheria ya offside si hadi anayehusika moja kwa moja na mpira ndo awe offside ndo inakuwa?? Kwanini hii imekuwa tofauti???
Sent using Jamii Forums mobile app
√De Gea amefanya first class blunder
√First half tumecheza poa..ila second half tumepoteza concentration na urgency
√Hapa goodison park sio pazuri,lakini nadhani ilibidi tuongeze umakini na juhudi zaidi..
√Martial amecheza kama hataki vile..Not a required standard for united striker
√Fernandes was superb apart from losing a ball frequently
Vipi hujaleta livescore leo kule jukwaa la GunnersKuna watu hawaoni hili..Awaangalie Richarlson, Culvert Lewin et all. Ligi ya Uingereza ni kupambana haswaa, aache uzezeta.
Ighalo angeanza tungekuwa tunaongea mengine hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka mechi ya City na United ya kwanza kocha Mourinho mpira ulipigwa Zlatan alikuwa offside position akaukwepa mpira ukaingia ikawa offside ina maana mchezaji wa Everton ameingilia mchezo wakati yupo offside positionMkuu hebu tuelezee vizuri, maana hata hawa pundits wamezungumzia kitu hicho. Ni sheria ipi?? Kwani sheria ya offside si hadi anayehusika moja kwa moja na mpira ndo awe offside ndo inakuwa?? Kwanini hii imekuwa tofauti???
Sent using Jamii Forums mobile app