SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Kushinda vimechi vitatu utasema mtamaliza wa pili kabisa.Tutamaliza nafasi ya 3 msimu huu. Majeruhi yametuharibia sana, maana wachezaji wetu muhimu wamekuwa nje kwa muda mrefu sana.
Hivi awaoni washambuliaji wenzake wanavyowapa shida mabeki wa team yake
Sana amemfanya ata Fred anazidi kuimarika sijui kwanini Martial ajifunzi kwake
Kama sijakosea mfumo wa leo ni 442 diamond, hauhitaji striker wa kuvunja pua, itabidi tu full back zetu ziwe 110%
Sana amemfanya ata Fred anazidi kuimarika sijui kwanini Martial ajifunzi kwake
Aingie ighalo tuone impact yake..Sana amemfanya ata Fred anazidi kuimarika sijui kwanini Martial ajifunzi kwake
Hii game inahitaji mshambuliaji mmwenye nguvu na mlazimishaji wa kupita, hapa kweli Ighalo anatakiwa. |
mechi nyingine huwa hucheki??