Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeeleza vizuri, ila watu walimtaka Mourinho msimu wa kwanza tu abebe makombe yote ndani ya msimu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inter na Wolves tujipange
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Form is temporary but class is permanent

Huyu mwenye #18 anatembea hewani na mpira, zile penati atakuja kupata kesi ya kuvunja migongo ya makipa

Tusubiri kirusi arudi tuone OGS atawatumiaje wote kwa pa1

Now confidence ipo juu sana, walete everton

WE NEVER DIE
GGMU



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa Martial ungekuwa na msaa sana kwa Ighalo kufunga magoli mengi zaidi, kama wakichezeshwa pamoja.

Inawezekana wewe ni hater wa jamaa lakini uwepo wake umetufanya tushinde pia mechi nyingi tu.

Itakuwaje Ighalo akashindwa kufanya vizuri mechi ya jumamosi kwenye sub atakwenda kucheza nani bila uwepo wa Martial ?
Furaha yetu haters. Naona matumaini ya kumfunga Everton, nilisema Jamaa bishoo hata jana ile assist ya Mata ambayo Ighalo alifunga angechelewa huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sub hata greenwood ni finisher mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuaje watu mnafurahia mchezaji wenu aumie

Imagine hapo hapo kati Ighalo kapata shida, hata kama Martial ni mvivu lazima timu iwe na depth

Lazima timu iwe na options Mkuu, kuna mechi inahitaji mtu wa style ya Martial na sio Ighalo
Furaha yetu haters. Naona matumaini ya kumfunga Everton, nilisema Jamaa bishoo hata jana ile assist ya Mata ambayo Ighalo alifunga angechelewa huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…