Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Martial hawezi kukaa benchi pamoja na madhaifu yake pale mbele bila yeye tutaancha hata kuangalia hiyo mechi.Kuna tatizo lolote Ole akiweka Odion Ighalo na Mason Greenwood mbele?
[emoji23][emoji23][emoji23]dah we jamaa hata kuangalia tu mechi hawaruhusiwi.Martial akae benchi??
nataka kitu kama hiki
De Gea
Bissaka Bailly Maguire Shaw
Fernandes Matic Fred
Greenwood(James) Ighalo Martial
✓Lingard na Perreira hawatakiwi wawe hata mita 500 karibu na uwanja
Pamoja na mapungufu ya martial, kwa kikosi tulichonacho hakuna wa kumuweka bench pale mbele, leo namuona akiingia kambana watford wamchunge sanaKuna tatizo lolote Ole akiweka Odion Ighalo na Mason Greenwood mbele?
scot vipi
Martial akae benchi??
nataka kitu kama hiki
De Gea
Bissaka Bailly Maguire Shaw
Fernandes Matic Fred
Greenwood(James) Ighalo Martial
✓Lingard na Perreira hawatakiwi wawe hata mita 500 karibu na uwanja