Kila mtu humu anaongea vile anavyojiskia ila likija swala la OGS naomba niwe upande wake...
Klopp msimu wake wa kwanza alifika fainali mbili na zote alifungwa Carabao na Europa, Imemchukua misimu 3 kufikia haya mafanikio ambayo Liverpool wanayo pamoja na uzoefu wake
Guadiola msimu wake wa kwanza alinyooshwa vizur sana kias kwamba ikabd afanye total Ovahaul ya Team karbia yote ili aje atengeneze kikosi chake na alifanikiwa baada ya hapo pamoja na uzoefu wake.
Tuje kwa OGS ana dirisha moja tu ambalo amefanya usajili ukiacha hili la January from which amefanikiwa kusajili kutokana na mahitaji ya team kwa maana hatukua na CB hatukua na beki namba 2 wa uhakika pia hatukua na Winger wa uhakika, Akaleta maingizo ya Maguire, Bissaka Danny James ambayo tumeona impact yao kwenye Team. Akaruhusu baadhi ya wachezaj kuondoka huku akiwapandisha wengne toka Academy... Swap ya Macton na Hereira Gomez kwa Lukaku....
Ukiangalia kwa haraka haraka utaona kwamba huyu jamaa anafanya kitu gan mbona hao watu waliopandswa ni Mbingu na Dunia ila hapana leo hii Scot kila mtu anakubali kwamba ni namba 6 yetu ya uhakika.
Amekutana na majeruhi katikat ya Msimu ambayo hakuna anaetegemea ameleta ingizo Jipya ambalo ni Bruno Frednandez ambae tayar ameshaonyesha kwamba ana impact kubwa kwnye team
So ukiangalia kwa jicho makini unaona kabisa team yetu inasajili kutokana na mahitaji ya kocha na sio kuangalia tutauza jersey kias gani.
Toka tuachane na Sir Alex tumekua team ambayo tunasajili sajili hovyo tu kias kwamba mpka wachezaji wanajua kwamba wanaenda Manchester United kupiga hela mfano mzuri ni Alex Sanchez.
Ila angalia usajili wa OGS hakuna mchezaj ambae analipwa mshahara unaozid pound 190,000 kwa week so hapo unagundua ukiacha mahitaji ya team pia ana control sana kulipa mishahara hewa unecessary.
Acha niendlee kumpa benefit of doubt mpka pale team ya sasa itakapokua kamili bila ya majeruh ya wachezaj wa kikos cha kwanza.
Nasubr Usajili wake wa majira ya Joto then tukianza msimu mwengne na akishindwa kudeliver kutokea hapo tutasema kwamba Yes OGS Aondoke na ntakua nakubaliana na wale Ant-OGS wote.
Aluta Continua.... Roma haikujengwa kwa siku Moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp msimu wake wa tano huu akiwa na Liverpool nayeye msimu wake wa kwanza na wa pili alistruggle kama Ole tu.
Second season akajipanga akamaliza wa nne trend ambayo hata Ole anaenda nayo mpaka sasa.
Hatuwezi kuwa na Fantastic results kwa timu tuliyonayo na ukizingatia pia priority za Mwalimu ni kuingia top four hivyo ni lazima afanye squad rotation ili regular starters wasichoke na kupata injuries.
Lakini pia squad rotation inafanya wachezaji ambao hawapati nafasi mara kwa mara kuwa na match fitness pindi tunapokuwa na ulazima wa kuwatumia.
Kwa matokeo ya jana sioni kama kuna shida sana kama ambavyo wengi tunataka kuonyesha hapa, timu nyingi kwenye home ground zinakuwa ngumu hivyo kupata sare na aina ya squad aliyoanzisha I don't see the problem with that.
Tumpe nafasi mwalimu then mwisho wa msimu tumpime kama ameweza kutimiza malengo ya timu.
Kwa squad tuliyonayo hata board yenyewe watakuwa walibuy time kuanza ujenzi wa timu upya that's why hata signing nyingi zinajikita katika kufanya blending ya timu kwa kuziba mapengo na kutengeneza squad mpya ya ushindani.
Tukimzungumzia Klopp mpaka sasa 90% ya kikosi anachokitumia ni signings za kwake why Ole tunamhukumu wakati hajatimiza mahitaji yake kikosini ?
Yawezekana kweli kuna mapungufu ya hapa na pale kikosini je yote lazima tumwangushie mzigo mwalimu ?
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini baada ya Ole kukamilisha rebuild yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaolinganisha klop na Ole mnaweza kulinganisha maamuzi ya kibenchi muda wao wa kwanza.
Msimu wa kwanza klop alikuwa anakunja nne?[emoji23][emoji23]
Klop alikuwa anafanya sub dk ya 80 timu ikiwa imezidiwa na Sub yenyewe ni kutoa martial na kuacha perreira na Lingard ndani?
Klop alikuwa na vimaneno vitamu vitamu visivyoendana na uhalisia?
Naweza sema ole atakuwa amemzidi klop msimu wake wa kwanza kwenye Sajili tu mengine hapana.
Hizo nne ambazo Ole anakunja na kucheka ndio ambazo zimefanya Fred awe bora mpka sasa na ndio zimefanya Scot awe mchezaji wa uhakika wa dimba letu la chini....Mnaolinganisha klop na Ole mnaweza kulinganisha maamuzi ya kibenchi muda wao wa kwanza.
Msimu wa kwanza klop alikuwa anakunja nne?[emoji23][emoji23]
Klop alikuwa anafanya sub dk ya 80 timu ikiwa imezidiwa na Sub yenyewe ni kutoa martial na kuacha perreira na Lingard ndani?
Klop alikuwa na vimaneno vitamu vitamu visivyoendana na uhalisia?
Naweza sema ole atakuwa amemzidi klop msimu wake wa kwanza kwenye Sajili tu mengine hapana.
Ahaha! Kaka....Unapoteza muda wako humu kutoa ushauri kwa timu iliyokufunga Mara 3 kwa Season moja kweli,Huu ujasiri umeupata wapi wewe Kijana.
Umeongea kwa fact kabisaKila mtu humu anaongea vile anavyojiskia ila likija swala la OGS naomba niwe upande wake...
Klopp msimu wake wa kwanza alifika fainali mbili na zote alifungwa Carabao na Europa, Imemchukua misimu 3 kufikia haya mafanikio ambayo Liverpool wanayo pamoja na uzoefu wake
Guadiola msimu wake wa kwanza alinyooshwa vizur sana kias kwamba ikabd afanye total Ovahaul ya Team karbia yote ili aje atengeneze kikosi chake na alifanikiwa baada ya hapo pamoja na uzoefu wake.
Tuje kwa OGS ana dirisha moja tu ambalo amefanya usajili ukiacha hili la January from which amefanikiwa kusajili kutokana na mahitaji ya team kwa maana hatukua na CB hatukua na beki namba 2 wa uhakika pia hatukua na Winger wa uhakika, Akaleta maingizo ya Maguire, Bissaka Danny James ambayo tumeona impact yao kwenye Team. Akaruhusu baadhi ya wachezaj kuondoka huku akiwapandisha wengne toka Academy... Swap ya Macton na Hereira Gomez kwa Lukaku....
Ukiangalia kwa haraka haraka utaona kwamba huyu jamaa anafanya kitu gan mbona hao watu waliopandswa ni Mbingu na Dunia ila hapana leo hii Scot kila mtu anakubali kwamba ni namba 6 yetu ya uhakika.
Amekutana na majeruhi katikat ya Msimu ambayo hakuna anaetegemea ameleta ingizo Jipya ambalo ni Bruno Frednandez ambae tayar ameshaonyesha kwamba ana impact kubwa kwnye team
So ukiangalia kwa jicho makini unaona kabisa team yetu inasajili kutokana na mahitaji ya kocha na sio kuangalia tutauza jersey kias gani.
Toka tuachane na Sir Alex tumekua team ambayo tunasajili sajili hovyo tu kias kwamba mpka wachezaji wanajua kwamba wanaenda Manchester United kupiga hela mfano mzuri ni Alex Sanchez.
Ila angalia usajili wa OGS hakuna mchezaj ambae analipwa mshahara unaozid pound 190,000 kwa week so hapo unagundua ukiacha mahitaji ya team pia ana control sana kulipa mishahara hewa unecessary.
Acha niendlee kumpa benefit of doubt mpka pale team ya sasa itakapokua kamili bila ya majeruh ya wachezaj wa kikos cha kwanza.
Nasubr Usajili wake wa majira ya Joto then tukianza msimu mwengne na akishindwa kudeliver kutokea hapo tutasema kwamba Yes OGS Aondoke na ntakua nakubaliana na wale Ant-OGS wote.
Aluta Continua.... Roma haikujengwa kwa siku Moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo nne ambazo Ole anakunja na kucheka ndio ambazo zimefanya Fred awe bora mpka sasa na ndio zimefanya Scot awe mchezaji wa uhakika wa dimba letu la chini....
Ila kuna wachezaj hawawez kuja kubadilka hata kama Ole atakuja na Speaker uwanjan na kuwafokea mfano Lingard na mwenzie Pereira
Hao wachezaj ndio ambao OGS atakuja kuwachinjilia mbali na hatakuja kupewa lawama na mtu kwa maana washapata nafas yao na wameshindwa kuimarika.
Kufoka sio solution ya kumfanya mchezaj acheze vizur alifoka Jose Mourinho matokeo yake tukawa tunachezea vichapo tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhukumu Ole kwa tactics zake mwenyewe, na sio kumlinganisha na Klopp.Klopp msimu wake wa tano huu akiwa na Liverpool nayeye msimu wake wa kwanza na wa pili alistruggle kama Ole tu.
Second season akajipanga akamaliza wa nne trend ambayo hata Ole anaenda nayo mpaka sasa.
Hatuwezi kuwa na Fantastic results kwa timu tuliyonayo na ukizingatia pia priority za Mwalimu ni kuingia top four hivyo ni lazima afanye squad rotation ili regular starters wasichoke na kupata injuries.
Lakini pia squad rotation inafanya wachezaji ambao hawapati nafasi mara kwa mara kuwa na match fitness pindi tunapokuwa na ulazima wa kuwatumia.
Kwa matokeo ya jana sioni kama kuna shida sana kama ambavyo wengi tunataka kuonyesha hapa, timu nyingi kwenye home ground zinakuwa ngumu hivyo kupata sare na aina ya squad aliyoanzisha I don't see the problem with that.
Tumpe nafasi mwalimu then mwisho wa msimu tumpime kama ameweza kutimiza malengo ya timu.
Kwa squad tuliyonayo hata board yenyewe watakuwa walibuy time kuanza ujenzi wa timu upya that's why hata signing nyingi zinajikita katika kufanya blending ya timu kwa kuziba mapengo na kutengeneza squad mpya ya ushindani.
Tukimzungumzia Klopp mpaka sasa 90% ya kikosi anachokitumia ni signings za kwake why Ole tunamhukumu wakati hajatimiza mahitaji yake kikosini ?
Yawezekana kweli kuna mapungufu ya hapa na pale kikosini je yote lazima tumwangushie mzigo mwalimu ?
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini baada ya Ole kukamilisha rebuild yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachelea kusema, kumleta Bruno ni pressure toka kwa mashabiki against the Board.Kila mtu humu anaongea vile anavyojiskia ila likija swala la OGS naomba niwe upande wake...
Klopp msimu wake wa kwanza alifika fainali mbili na zote alifungwa Carabao na Europa, Imemchukua misimu 3 kufikia haya mafanikio ambayo Liverpool wanayo pamoja na uzoefu wake
Guadiola msimu wake wa kwanza alinyooshwa vizur sana kias kwamba ikabd afanye total Ovahaul ya Team karbia yote ili aje atengeneze kikosi chake na alifanikiwa baada ya hapo pamoja na uzoefu wake.
Tuje kwa OGS ana dirisha moja tu ambalo amefanya usajili ukiacha hili la January from which amefanikiwa kusajili kutokana na mahitaji ya team kwa maana hatukua na CB hatukua na beki namba 2 wa uhakika pia hatukua na Winger wa uhakika, Akaleta maingizo ya Maguire, Bissaka Danny James ambayo tumeona impact yao kwenye Team. Akaruhusu baadhi ya wachezaj kuondoka huku akiwapandisha wengne toka Academy... Swap ya Macton na Hereira Gomez kwa Lukaku....
Ukiangalia kwa haraka haraka utaona kwamba huyu jamaa anafanya kitu gan mbona hao watu waliopandswa ni Mbingu na Dunia ila hapana leo hii Scot kila mtu anakubali kwamba ni namba 6 yetu ya uhakika.
Amekutana na majeruhi katikat ya Msimu ambayo hakuna anaetegemea ameleta ingizo Jipya ambalo ni Bruno Frednandez ambae tayar ameshaonyesha kwamba ana impact kubwa kwnye team
So ukiangalia kwa jicho makini unaona kabisa team yetu inasajili kutokana na mahitaji ya kocha na sio kuangalia tutauza jersey kias gani.
Toka tuachane na Sir Alex tumekua team ambayo tunasajili sajili hovyo tu kias kwamba mpka wachezaji wanajua kwamba wanaenda Manchester United kupiga hela mfano mzuri ni Alex Sanchez.
Ila angalia usajili wa OGS hakuna mchezaj ambae analipwa mshahara unaozid pound 190,000 kwa week so hapo unagundua ukiacha mahitaji ya team pia ana control sana kulipa mishahara hewa unecessary.
Acha niendlee kumpa benefit of doubt mpka pale team ya sasa itakapokua kamili bila ya majeruh ya wachezaj wa kikos cha kwanza.
Nasubr Usajili wake wa majira ya Joto then tukianza msimu mwengne na akishindwa kudeliver kutokea hapo tutasema kwamba Yes OGS Aondoke na ntakua nakubaliana na wale Ant-OGS wote.
Aluta Continua.... Roma haikujengwa kwa siku Moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole ni kocha wa timu ndogo iliozoea kufungwa.Mzee hayo yote hayana shida tunaongelea ujinga wa kocha unaotugharimu.
Sub dk ya 80 huko.
Wachezaji wapo so mmoja akizingua toa Hata kama ni first half.
Kupanga ovyo kikosi.
Kuapproach mechi vibaya.
Kukunja nne huku timu inazidiwa.
Unajua tuna hasira si kwamba tuna kikosi kibovu bali kocha anashindwa kudili na mambo madogo madogo ambayo yanatukost hayo sio mapungufu, hayo ni mambo muhimu kocha anatakiwa kuwa nayo.
Dirisha la Majira ya joto OGS alikua na all options on hand kwa maana ya Pogba, Matic, Fred, Mata, Lingard, Pereira, Scot kwa maana hapo kuna fast team starters na banch warmers, Ila akafika stage fast team starters wote majeruh na bench warmers wameshindwa kuprove unategmea atakua na option nyengne?Nachelea kusema, kumleta Bruno ni pressure toka kwa mashabiki against the Board.
Huyu bruno alikuwa available dirisha dogo, wakamuacha.
Haikuwa dhamira ya Ole na Board kumnunua Bruno in the first place.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Lampard kaamua kukopy mfumo wa Ole uliomfunga 3-4-2-1 mournho nae kamkopa Nuno wa wolves 3-5-2 natabiri droo au Chelsea kuoga.
Anyway sijafika kwenye Uchawi.