Mkuu kale kaollachuga nasikia kanaumwa corona virus, tukaombee tuKale ka Ollachuga sjui pachungu sana humu kwake Leo.. Ole kawaoa 3 times msimu huu, 2 nzima hapo hapo kwao, 1 kipigo cha mbwa mwizi OT
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshinda ndiyo lakini binafsi Bado sijalizishwa na uchezaji wetu na mfumo wa uchezaji ,
Bruno kacheza vizuri lakini nafikiri lile siyo eneo lake halisi la kumfanya afanye mambo makubwa saana,
Bruno anapaswa kushuka chini kidogo Kama namba nane siyo namba kumi,
Bruno Ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi na kutengeneza nafasi.
Fred mzuri lakini siyo mzuri kuanzisha mashambulizi..., Timu haina ubunifu katika eneo la mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hujaelewa mzee , yaani hilo eneo Fred angecheza yy harafu Fred asogee juu,Ulitaka BF acheze wap tofauti na hapa... Au akacheze mbele kabisa kwenye nyavu ya ChelseaView attachment 1361272
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole ni wa kutimuliwa pale united!Naona hujaelewa mzee , yaani hilo eneo Fred angecheza yy harafu Fred asogee juu,
Timu haina ubunifu wa kutengeneza nafasi, magoli yanakuja kama ndondokela tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nan kati ya hao wawili anaweza tengeneza nafasi zaidiNaona hujaelewa mzee , yaani hilo eneo Fred angecheza yy harafu Fred asogee juu,
Timu haina ubunifu wa kutengeneza nafasi, magoli yanakuja kama ndondokela tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu salama? |
NYUMBU NI NYUMBU TU LEO MNAGONGWA
Vipi hali yako mkuu? |
Ili Ole afukuzwe, inabidi tufungwe ili hata nafas ya 5 isipatikane!
OGS mvivu sana kufanya sub, na hajui nani ni jipu amtoe mapema. Juzi nilikuwa naangalia mechi ya Spurs Mou ana akili sana akiona udhaifu sehemu anafanya sub faster na unaona mabadiliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hatukucheza vizuri
Kweli Bruno ni namba 8 na si 10
Lakini tuufurahie ushindi, siku hizi tunaupata ushindi kwa nadra sana, tukiupata... tuufurahie
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hujaelewa mzee , yaani hilo eneo Fred angecheza yy harafu Fred asogee juu,
Timu haina ubunifu wa kutengeneza nafasi, magoli yanakuja kama ndondokela tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
InashangazaMechi na Wolves alichezeshwa chini mkatoa mkalalamika kuwa achezeshwe juu leo kacheza juu mnalalamika tena kuwa hajacheza eneo lake.
Mnataka achezeshwe mbinguni ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mashabiki wanajua kuliko manager anayeshinda na wachezaji
Kuna mashabiki wanajua kuliko manager anayeshinda na wachezaji
Half time
Tumecheza vizuri kipindi hiki cha kwanza
Ila Martial anatakiwa agangamae japo kafunga, yupo soft sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huyu mwehu kawashindwa kbsa