Kocha anauza wachezaji wazuri anaacha makapi halafu anakuwa comfortable kabisa kuanza msimu na kikosi chembamba.
Halafu leo tunaombana tumpe muda. Muda upi anaotaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Van Gaal ameifundisha United na muelekeo ulikuwa unaonekana. Falsafa ilikuwa clear.
Alitakiwa apewe muda ila Hakupewa nafasi.
Tukija kwa Mourinho the same. Ametupa Europa. Alikuwa anajua nini anataka na jinsi ya kufikia malengo yake. Mapungufu ya timu aliyaona na akayasema wazi.
Ole yeye ni yes sir coach. Hana clear formation, hajui hata nini anachofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa united wengi wetu ni wanafiki sana.
Wachezaji gani wazuri Ole amewauza akabakiza Makapi ?
Ukiondoa Andre Herera kuna mchezaji gani ambaye kauzwa aliyekuwa anafaa kucheza United ?
Najua unalenga kumzungumzia Lukaku na Sachez mara ngapi humu mlikuwa mkimnanga Lukaku kwa kukosa chances za wazi ?
Tulikuwa tukilalamika msimu uliopita kuwa timu imejaa deadwoods na walitakiwa kuondolewa mpaka sasa Ole kaondoa Deadwoods karibia wote tunaanza kulalamika tena kikosi kidogo ???
Ingekuwa justifiable kumfukuza Ole kama angekuwa ameshafanya Signing ya maana halafu akashindwa kufanya vizuri leo hii yuko kwenye rebuild tunataka afukuzwe tuanze rebuild mpya ??
Tumpe muda mwalimu afanye kazi yake na sisi tubakize jukumu letu la kushangilia magoli na kuumia tunapofungwa.
OLE at the Wheel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeamua sasa kutoyumbishwa na hisia na mihemuko..acha nibaki na ninacho kiamini hadi siku nitakapoona hiki kitu hakiwezekani au hiki kitu kimewezekana na tutakuja humu kufukua makaburi
√Tulikuwa tunalalamika humu timu imejaza vilaza,wameanza kuondoka tumeanza kulalamika tena..Smalling tulikuwa tunamtukana kila siku humu,Sanchez,Lukaku(tulikuwa tunasema Man United haijawahi kuwa na mchezaji mwenye first touch mbaya hivi)..sasa hivi tunawatamani tena..No wonder hata Jones akiuzwa tutakuja kulakamika humu"why mchezaji mkali hivi kauzwa"
√Mourinho kaja na alikuwa na timu nzuri kushinda hii ya Ole IMO lakini alishindwa kutupeleka top four..Pogba,Ibrahimovic,Mhiktaryan,Rooney,Herrera,Valencia,Fellaine,Mata etc,msimu uliofuata akapewa Lukaku,Matic,Dalot na Sanchez,tukaingia top four..ila tunataka tufanye maajabu kwa kuwatumia Rashford,Martial,James,Perreira na Lingard
√Tuwe na subra kidogo na Ole..Fukuza Fukuza haiwezi kutusaidia sana
√Ole inawezekana alikosea kutokufanya replacement ya Lukaku lakini naamini ameshaona alikosea na kuna uhitaji wa straiker(temporary straiker kapatikana)..Mbona Pep aliingia sokoni na kumsajili Bravo akachemka,ikabidi tena aingie sokoni??..Haya mambo yapo wakuu
√Tukiwa tunashinda hatuhoji falsafa ya kocha,tukifungwa ndo tunahoji falsafa ya kocha..amaizing stuff
Lukaku na Ander hawakutakiwa kuondoka wakati hakukuwa na jitihada za kuwareplace.Mashabiki wa united wengi wetu ni wanafiki sana.
Wachezaji gani wazuri Ole amewauza akabakiza Makapi ?
Ukiondoa Andre Herera kuna mchezaji gani ambaye kauzwa aliyekuwa anafaa kucheza United ?
Najua unalenga kumzungumzia Lukaku na Sachez mara ngapi humu mlikuwa mkimnanga Lukaku kwa kukosa chances za wazi ?
Tulikuwa tukilalamika msimu uliopita kuwa timu imejaa deadwoods na walitakiwa kuondolewa mpaka sasa Ole kaondoa Deadwoods karibia wote tunaanza kulalamika tena kikosi kidogo ???
Ingekuwa justifiable kumfukuza Ole kama angekuwa ameshafanya Signing ya maana halafu akashindwa kufanya vizuri leo hii yuko kwenye rebuild tunataka afukuzwe tuanze rebuild mpya ??
Tumpe muda mwalimu afanye kazi yake na sisi tubakize jukumu letu la kushangilia magoli na kuumia tunapofungwa.
OLE at the Wheel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu swala la OGS anatosha au Hatoshi mimi binafsi nimeliweka kiporo mpaka mwisho mwa msimu ndio ntafanya tathimini, nione ktk standing atamaliza wa ngap pia nione kwenye Europer atabeba au lahMimi nimeamua sasa kutoyumbishwa na hisia na mihemuko..acha nibaki na ninacho kiamini hadi siku nitakapoona hiki kitu hakiwezekani au hiki kitu kimewezekana na tutakuja humu kufukua makaburi
√Tulikuwa tunalalamika humu timu imejaza vilaza,wameanza kuondoka tumeanza kulalamika tena..Smalling tulikuwa tunamtukana kila siku humu,Sanchez,Lukaku(tulikuwa tunasema Man United haijawahi kuwa na mchezaji mwenye first touch mbaya hivi)..sasa hivi tunawatamani tena..No wonder hata Jones akiuzwa tutakuja kulakamika humu"why mchezaji mkali hivi kauzwa"
√Mourinho kaja na alikuwa na timu nzuri kushinda hii ya Ole IMO lakini alishindwa kutupeleka top four..Pogba,Ibrahimovic,Mhiktaryan,Rooney,Herrera,Valencia,Fellaine,Mata etc,msimu uliofuata akapewa Lukaku,Matic,Dalot na Sanchez,tukaingia top four..ila tunataka tufanye maajabu kwa kuwatumia Rashford,Martial,James,Perreira na Lingard
√Tuwe na subra kidogo na Ole..Fukuza Fukuza haiwezi kutusaidia sana
√Ole inawezekana alikosea kutokufanya replacement ya Lukaku lakini naamini ameshaona alikosea na kuna uhitaji wa straiker(temporary straiker kapatikana)..Mbona Pep aliingia sokoni na kumsajili Bravo akachemka,ikabidi tena aingie sokoni??..Haya mambo yapo wakuu
√Tukiwa tunashinda hatuhoji falsafa ya kocha,tukifungwa ndo tunahoji falsafa ya kocha..amaizing stuff
Lukaku alitaka kuondoka na alim'face Ole live akamuomba amruhusu asepe, hapa kumlaumu Ole ni kumuonea tuLukaku na Ander hawakutakiwa kuondoka wakati hakukuwa na jitihada za kuwareplace.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo tuna haraka kuiona dira ya chongo. Nitaanza kuwa na mashaka na Ole baada ya kuwezeshwa wachezaji anaowataka then bado timu ikawa ina perform chini ya kiwango.Mimi nimeamua sasa kutoyumbishwa na hisia na mihemuko..acha nibaki na ninacho kiamini hadi siku nitakapoona hiki kitu hakiwezekani au hiki kitu kimewezekana na tutakuja humu kufukua makaburi
√Tulikuwa tunalalamika humu timu imejaza vilaza,wameanza kuondoka tumeanza kulalamika tena..Smalling tulikuwa tunamtukana kila siku humu,Sanchez,Lukaku(tulikuwa tunasema Man United haijawahi kuwa na mchezaji mwenye first touch mbaya hivi)..sasa hivi tunawatamani tena..No wonder hata Jones akiuzwa tutakuja kulakamika humu"why mchezaji mkali hivi kauzwa"
√Mourinho kaja na alikuwa na timu nzuri kushinda hii ya Ole IMO lakini alishindwa kutupeleka top four..Pogba,Ibrahimovic,Mhiktaryan,Rooney,Herrera,Valencia,Fellaine,Mata etc,msimu uliofuata akapewa Lukaku,Matic,Dalot na Sanchez,tukaingia top four..ila tunataka tufanye maajabu kwa kuwatumia Rashford,Martial,James,Perreira na Lingard
√Tuwe na subra kidogo na Ole..Fukuza Fukuza haiwezi kutusaidia sana
√Ole inawezekana alikosea kutokufanya replacement ya Lukaku lakini naamini ameshaona alikosea na kuna uhitaji wa straiker(temporary straiker kapatikana)..Mbona Pep aliingia sokoni na kumsajili Bravo akachemka,ikabidi tena aingie sokoni??..Haya mambo yapo wakuu
√Tukiwa tunashinda hatuhoji falsafa ya kocha,tukifungwa ndo tunahoji falsafa ya kocha..amaizing stuff
kwanini madrid, juve, psg, barca hawamtaki Grealish wa bei rahisi?Jamani hivi mnamtaza Grealish kwa jicho kama langu? hatari muda wote wa mchezo
Anatumika kama Sir Alex alivyokua anamtumia Gigs from left wing, huyu mwamba so energy, very creative, huyu ni sawa na Martial watatu
To be honest Grealish anacho offer Astonvilla ni zaidi ya Pogba anacho offer ManUtd, sasa ya nini kumng'ang'ania Pobga wakati kuna Grealish?
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Barca,Juve,Madrid hawakumtaka Halland kwa bei chee??kwanini madrid, juve, psg, barca hawamtaki Grealish wa bei rahisi?
1.alikuwa Sio proven badoKwanini Barca,Juve,Madrid hawakumtaka Halland kwa bei chee??
Kwan kila mchezaji mzuri hizo timu hapo lazima zimtake? Na endapo zisipomtaka what it means?kwanini madrid, juve, psg, barca hawamtaki Grealish wa bei rahisi?
So unataka kusema nini kwa Jack Grealish??1.alikuwa Sio proven bado
2. Clause ya 50m hakuna club yoyote kubwa ambayo ingekubali
Ni mchezaji mzuri ila hajafikia kiwango cha pogba kama alivyosema huyo nilie mquoteSo unataka kusema nini kwa Jack Grealish??
Fletcher ni zao la AcademyKwan kila mchezaji mzuri hizo timu hapo lazima zimtake? Na endapo zisipomtaka what it means?
Mbona hizo timu hazimtaki fundi debruyne, it means debruyne wa kawaida?
Kwa uo mtazamo wako basi sir alex asingekua anasajiri wachezaji like Fletcher, Teddy, OGS, Saha, andersin, valencia kwasababu hawakuwai takiwa na psg, madrid, barca, juve
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hivi mnamtaza Grealish kwa jicho kama langu? hatari muda wote wa mchezo