Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Summer uza kirusi, nunua Grealish au Madison

Halafu wakitifue na BF

Sent using Jamii Forums mobile app
Man utd scouting cjui ipoje, yaan hawamuoni huyu Grealish kweli? Ana offer vingi uwanjani, he can score, assist, hard working, winner, inshort anavingi compared to martial, pereira, lingard even james
Alafu yule beki wa leicester anayevaa jezi #4 aliyepandishwa kumrithi maguire anatufaa sana, mtulivu, anapandisha timu, aje aungane na kaka ake maguire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba scouts wanafnya kazi yao, pengine vzr tuu. Tatizo ni la wakubwa kutoa pesa.

We huoni wamemascout Jude kule Birmighham.

Sent using simu mbovu
 
Wali bid mapema lakini ilikuwa £42m kwa hiyo sasa hivi wamepandisha

Kuna hisia kwamba, wamechelewesha dili makusudi ili mashabiki tusidai usajili mwingine

Imagine wangesajili January 15, mashabiki tungekuwa tunataka tusajili striker au kiungo mkabaji au mchezaji mwingine yoyote

Lakini usajili wa BF ukifanyika deadline day mashabiki tutafurahi bila kuwaza usajili mwingine maana tunajua dirisha linafungwa
Ed mjanja anataka kuwatuliza utd fans dhidi ya walichopanga against wolves game, jana ndio kapeleka official bid, siku zote alikua wap

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa scouting pale United, sioni tatizo

Nadhani tatizo ni kwa wafanya maamuzi na watoa hela

Huyo Grealish ni mzuri sana, na yeye na Madison wapo kwenye radar za United especially summar
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukishafungwa na ninyi mnakuja kuitroll Man u hapa?
Mna utofauti gn na fans wa Timu pinzani kama Chelsea, arsenal liverpool etc

Yaani unaiombea timu yako pendwa ifugwe 6 bila na mpinzani wake mkubwa

Sent using simu mbovu
Mashabiki kummshambulia edo nyumbani kwake itatia heshima
 
Baadhi ya mashabiki wa ManUtd wamevamia nyumba ya Woodward kufanya vurugu usiku wa kuamkia leo, inasekana ndani hakukua na mtu ila message sent
Na wakitoka nj'e half time dhidi ya wolves nafikiri ujumbe utakua umeeleweka mpaka kwa kina Glazer

Sisi sio wa mchezo mchezo, tulishawai kumpitishia ndege kibaraka moyes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Message sent jamaa mpuuzi San . Anawafanyia kaz matajiri anatuacha tukipata pressure
 
Game ya Wolvers mtashinda na game ya City mtashinda then mtasema wenyewe OGS & Eddy IN baada ya hapo ni msoto mkali....

Nyumbu ni NYUMBU tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…