Ole press zake zinaboa kinyama..leo tena kawapamba kina Ed..anasema kuwa uongozi uko poa..Shenzi zakeYaani huyu mwana kaanza kujificha kwenye kivuli cha Klop, sisi hatukutaki
OGS OUT
OGS OUTView attachment 1333221
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu mwana kaanza kujificha kwenye kivuli cha Klop, sisi hatukutaki
Kitulize wewe nyumbu
mkuu ni madirisha matatu na si mawili kama ulivyoandika...Ole bana!
Its not a quick fix wakati ana miezi zaidi ya 13 na klabu hii,hajabadilisha mfumo wa uchezaji,ameongeza wachezaji watatu wapya,ameishi madirisha 2 ya usajili summer na january.
Asante kwa masahihisho mkuumkuu ni madirisha matatu na si mawili kama ulivyoandika...
alianza kazi mwezi december 2018
Wakati kwa jamaa yetu ndio kwanza timu haieleweki inacheza mfumo gani na kwa kusudio lipi!ole anapoomba apewe muda kama klopp anapaswa akumbuke yafuatayo:
klopp anakabidhiwa timu oktoba 2015
liverpool wanafungwa fainali dhidi ya man city kwenye kombe la carling a.k.a carabao
liverpool pia wanafungwa fainali kwenye kombe la europe dhidi ya sevilla (3-1)
2016/2017 (first full season kwa klopp)
wanafuzu kucheza ligi ya mabingwa kwa kushika nafasi ya nne, mpaka hapo jurgen klopp alikwisha onyesha muelekeo wa kuleta mafanikio.
kama ole anahitaji apewe muda anapaswa awathibitishie walimwengu japo kwa kutupa nafasi ya nne kama klopp kwenye ligi kuu au kuipa ubingwa wa europe.
2017/2018 ( second full season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya 4, liverpool wanafungwa na real madrid kwenye fainali
2018/2019 (third season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya pili kwenye premier league, liverpool wanabeba ubingwa wa uefa.
2019/2020 (fourth season kwa klopp)
kila mtu anaiogopa liverpool.
Kwenye izo timu ondoa Chelseaole anapoomba apewe muda kama klopp anapaswa akumbuke yafuatayo:
klopp anakabidhiwa timu oktoba 2015
liverpool wanafungwa fainali dhidi ya man city kwenye kombe la carling a.k.a carabao
liverpool pia wanafungwa fainali kwenye kombe la europe dhidi ya sevilla (3-1)
2016/2017 (first full season kwa klopp)
wanafuzu kucheza ligi ya mabingwa kwa kushika nafasi ya nne, mpaka hapo jurgen klopp alikwisha onyesha muelekeo wa kuleta mafanikio.
kama ole anahitaji apewe muda anapaswa awathibitishie walimwengu japo kwa kutupa nafasi ya nne kama klopp kwenye ligi kuu au kuipa ubingwa wa europe.
2017/2018 ( second full season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya 4, liverpool wanafungwa na real madrid kwenye fainali
2018/2019 (third season kwa klopp)
liverpool wanashika nafasi ya pili kwenye premier league, liverpool wanabeba ubingwa wa uefa.
2019/2020 (fourth season kwa klopp)
kila mtu anaiogopa liverpool.
reference aliyoitumia ole itamuumbua hadharani kwa sababu wapo makocha waliopewa team kwa muda mfupi kuliko klopp na wameweza kuimplement philosophy inayoeleweka..Wakati kwa jamaa yetu ndio kwanza timu haieleweki inacheza mfumo gani na kwa kusudio lipi!
Ni kama vile tumetoka championship na ni mara yetu ya kwanza kuingia epl msimu huu.
teh teh teh
Mtoe MATA na Dalotbangi za usiku zinapochanganyika na msongo wa njaa na mawazo finyu
kocha yeyote ajaye klabuni manchester united kama anahitaji kufanikiwa kwa haraka zaidi afanye maamuzi ya kuwaondoa wafuatao haijalishi awe hana uhakika wa kupata warithi wake kwenye soko la usajili, naamini kuondoka kwao hakutaleta athari yeyote kuliko kuendelea kubaki kwao klabuni pia kuondoka kwao kutasaidia kupungua kwa wage bills
akishafanikiwa kuwaondoa wachezaji hao kwa msimu mmoja then afanye maandalizi ya kuwaondoa wachezaji wafuatao kwa dirisha linalofuata (2020/2021) pindi wakipatikana warithi sahihi
- jesse lingard
- andreas perreira
- phil jones
- marcos rojo
- alex sanchez
- diogo dalot
kinyume chake tutaendelea kuwa wasindikizaji haijalishi kama klabu itaamua kuwaajiri kwa pamoja josep guardiola, zidane na mauricio sarri.
- anthony martial
- eric bailly
- luke shaw
- victor lindeloff / smalling
- juan mata
hao niliowawekea wino mwekundu nakaribisha mjadala huru.
Timu yetu imejaza watumishi hewa
Erling Haaland at Borussia Dortmund:
59 minutes
5 shots 5 goals
Fastest to score 5 goals in Bundesliga history.
tukisha mpata bruno fernandez, mdogo wake sneijder, mwanawe ricardo kaka ndipo tutaelekeza nguvu zetu kuvunja release clause yake iliowekwa na mjanja mjanja.
huduma bora + philosophy + tactics zenye kueleweka.
View attachment 1333657