DJ, Pereira, Martial hawastahili kuwa 1st eleven ya Man Utd, labda wawe squad player
Tunakosa ubunifu sehemu ya mwisho ya uwanja, nachoshangaa pamoja na udhaifu huu bado kina Woodward wanasua sua kumleta Bruno, ambaye ata offer goals & assist, kipindi kigumu sana hiki kuwa Man utd fan
Naungana na kina Garry Neville and LVG tatizo la Man utd ni management kule juu, hata aje Pep kwa management ya kina Woodward hatofanya lolote, pia OGS hamna kitu yule, timu no progress
Ila waingereza wapole sana, wamejazana pale OT wanaisapoti timu yao, laiti ingekua ndio Simba Sc tunapata matokeo haya alafu kina MO wakawa wanazingua kuleta watu, tushakinukisha kitambo tu
Sent using Jamii Forums mobile app