Haha sijaifananisha liverpool ktk kuspend na manu mkubwa au husomi ukamaliza???Vvd.fabinho,allison?
Pogba,maguire,bissaka?
Hapo bado wakina martial na di maria ambao wa gharama sana ungekuwa usajili una klik basi tusingekuwa wa 6
Kwahiyo hoja yako iko wp mkubwa hapoBado tena gomes--- lindelof robertson-- shaw bei zao?
Liverpool wana kocha mzur sana hiv kweli nani angeweza kumtumia Georginio Wijnaldum na Milner? Hata henderson tu mara ngap mashabik wametaka auzwe kocha kakomaa?
Haha sijaifananisha liverpool ktk kuspend na manu mkubwa au husomi ukamaliza???
Kwahiyo hoja yako iko wp mkubwa hapo
Liverpool ya kawaida???? Maana kunasiku ushawahi kuandika kitu kama hiki.
Kwahiyo hoja yako iko wp mkubwa hapo
Liverpool ya kawaida???? Maana kunasiku ushawahi kuandika kitu kama hiki.
Sasa mnaposema Rashford Na McSauce wameacha pengo na huwa hawana impact pale Anfield vipi City waliomkosa Sane anaewawezeaga Liverpool Na beki kisiki Aymeric Laporte?We nawe hii pumba sasa ktk pumba zote ulizowahi kuleta hapa
Mashabiki wa manure wanasema liver anashinda kwa bahati
Mechi 58 liver wamefungwa mechi moja tu kwenye league... UEFA wamebeba, Supercup wamebeba, club world cup wamebeba, .. Msimu uliopita kwenye ligi wamemaliza nafasi ya pili wakuachwa kwa piont moja tu...... Msimu huu wanaongoza ligi kwa tofauti ya points 16, bado wana mechi ya kiporo..... UEFA hatua ya makundi wamemaliza wakiwa wanaongoza kundi....
Mane ni mchezaji bora Africa
Virgili beki bora duniani
Allison kipa bora duniani
Henderson mchezaji bora wa uingereza
Katika wachezaji 20 bora duniani wa FIFA.. Saba wametoka liverpool
Kocha bora duniani ni wa liverpool
......
Alafu anajitokeza shabiki mmoja wa Man u kutoka uko nanjilinji.. Anakuambia liverpool inashinda kwa bahati
Sasa mnaposema Rashford Na McSauce wameacha pengo na huwa hawana impact pale Anfield vipi City waliomkosa Sane anaewawezeaga Liverpool Na beki kisiki Aymeric Laporte?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes liverpool ni team ya kawaida tu na imekua na good season kama team nyingine tu like leicester et al
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua maana ya bahati? Yani uchukue makombe matatu makubwa kawa bahati? Yani usifungwe mechi 57 hiyo ni bahati?Leicester city alichukua epl kwamba alikuwa ni timu bora Epl? Upepo ukikubali hamna kinachokataa mjifunze hilo Ugiriki kachukua euro 2004 uliona players wake? Porto kachukua uefa na zenit kachukua uefa super cup kwa kumfunga mancheter united 2008
Manchater united 2016/17 tulikuwa wa pili na tumechukua europa tulikuwa bora sana msimu huo chini ya mourinho liverpool walimaliza wa nne walikuwa hovyo ambao walicheza final ya uefa?
Kwa sasa liverpool anafanya vizur ni rahisi zaidi kuja na hizo justfication zako
Rashford is out for a while..ngoja tuone Ole ata react vipi..
Leicester city alichukua epl kwamba alikuwa ni timu bora Epl? Upepo ukikubali hamna kinachokataa mjifunze hilo Ugiriki kachukua euro 2004 uliona players wake? Porto kachukua uefa na zenit kachukua uefa super cup kwa kumfunga mancheter united 2008
Manchater united 2016/17 tulikuwa wa pili na tumechukua europa tulikuwa bora sana msimu huo chini ya mourinho liverpool walimaliza wa nne walikuwa hovyo ambao walicheza final ya uefa?
Kwa sasa liverpool anafanya vizur ni rahisi zaidi kuja na hizo justfication zako
Yes liverpool ni team ya kawaida tu na imekua na good season kama team nyingine tu like leicester et al
Sent using Jamii Forums mobile app