Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee goli mbili zmekataliwa hafu unasema tunabebwa

Kubali timu yako ni mbovu shida iko wapi haswa aisee.
Mbona mnakua wajinga hivi

Like not mtu unayefuatilia mpira mtu wangu wa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa kwanza motive yangu ni nini mkuu.ile faulo.aliyofanya van dyke ipo wazi mno hata yeye mwenyewe reaction yake tu alijua ni faulo iweje refa aliacha???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni Shaw kajitahid aise
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewi kwanini wanaongoza league? Tena kwa tofauti ya mapoints kedekede.
hao wazuri ni kina nani sasa na mbona hawaongozi hiyo league? Toaga compliment mzee,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scott na Rashy waliwapa points ngapi tulipokuja hapo kwenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimemkumbuka sana yule babu LVG

LVG aliojiwa akasema tatizo la utd ina viongozi sio wanamichezo/sio watu wa mpira kama uongozi wa timu kama bayern, barca, juve, etc
Akaongeza akasema kama yule woodward kasomea Banking, hajui chochote kuhusu footbal
Kina Glazer wanangalia faida tu na sio matokeo

Hapa wife ananiambia upendo naoipenda utd niuamishie kwake, namuona ana point ya msingi kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…