Ushaanza kutafuta excuse. Mbona hayo magoli mawili ya Liver yamekataliwa? Acha hiyo inferiority mind mzee. Umeingiza goli likakataliwa?
Hilo hawatalisema. Watatafuta jingine.MMEJITAHIDI MMEFUNGWA 1 TU MPAKA HALF TIME MUISHUKURU NA VAR MLIKUWA MNALIA HUMU OHH VAR NI KWA AJILI YA LIVERPOOL LEO IMEWAOKOA NYINYI SECOND HALF MTAKULA TU ZA ZIADA
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee goli mbili zmekataliwa hafu unasema tunabebwa
huo mpira kabla haujafika kwa huyo striker inapendeza zaidi kama utaanzia kutengenezwa nyuma.
Yaani tunachomis ni viungo/kiungo mbunifu wa kupiga dangerous pass kwa kina Martial, Liverpool wa kawaida sana sielewi kwann wanaongoza ligi, nafikiri Sir Alex uko alipo anaweza fikiria kurudisha majeshi vitani (natamani Sir Alex arudi japo misimu mitatu tu)Timu ni mbovu sana eneo la kiungo upande wa ushambuliaji hamna shida mech ya leo ni kiungo gan atawalisha wakina martial mipira? Timu inaweza kushinda mech bila hata ya washambuliaji kama vile manchester city