Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno fernandez deal will be announced after a huge and dissapointment result against liverpool.
They will use it as a defensive weapon against the fans.
#MUFC


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bruno fernandez deal will be announced after a huge and dissapointment result against liverpool.
They will use it as a defensive weapon against the fans.
#MUFC


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama tumefika hatua hii mkuu basi hali ya machester ni mbaya sana tena sana.... ila janja janja zinamwisho wake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno haya, naona kabisa OGS anajaribu kucheza na akili zetu kama alivyofanya last time.

Mwambieni tunaijua janja yake, we will prepare ourselves as if Rashford will be in.
brother, nimekuwa mzito sana siku hizi kujadili ishu za mipira hususani klabu pendwa ya manchester united ndio maana nimechelewa kujibu hii nukuu yako, nadhani hali hii inachangiwa zaidi na kukosa kwangu kuziangalia takribani mechi tano zilizopita za manchester united.
mara nyingi naishia kusoma comment kimya kimya kila thread then natafuta mlango wa kutokea
===============================
kwa mwenendo wa team yetu nyakati hizi sidhani kama mind games zinaweza kutuletea faida dhidi ya adui aliyetuzidi kiubora mara mbili zaidi, muongo mmoja uliopita hizi mind games zilikuwa zinatusaidia sana pindi tunapokutana na maadui zetu kwa sababu tulikuwa bora kimkakati kuanzia ubora wa mwalimu, ubora wa bajeti dhidi ya adui mpaka ubora wa kikosi.

tumefikia hatua wachambuzi uchwara wa soka wanapofanya mlinganisho wa ubora wa vikosi kati ya timu mbili pinzani klabu yetu inashindwa kuingiza angalau wachezaji wawili kwenye kikosi


nimeikuta hii taarifa kupitia page ya manchester united updates muda huu
Manchester United squad members to face Liverpool:

  1. De Gea, Romero, Grant,
  2. Jones, Wan-Bissaka, Lindelof, Williams, Bailly, Maguire, Dalot, Shaw,
  3. Lingard, Matic, Fred, Pereira, Gomes
  4. Mata, Chong, James, Martial, Greenwood
rashford amekuwa lulu kama ronaldo au messi kiupande wetu, (tumerudi nyuma sana)
 
Manchester United have triggered the option to extend defender Eric Bailly’s contract by a further two years, committing him to the club until the end of the 2021/22 season.

kuna wimbo fulani wa hussein machozi kiitikio chake kama nipo sahihi (si mshabiki wa muziki wa kitanzania) anasema:
kwa chuki kwa moyo ed woodward utampenda:

kwa mtazamo wangu dhaifu eric bailly hayupo tena kwenye mipango ya manchester united hii ya OGS na sababu kubwa ni takwimu zake za kiafya na pia uwepo wa tuanzebe kama mbadala wa victor lindeloff pia unafifisha ndoto ya eric kuendelea kubaki man utd,

kuliko kuondoka bure bwana ed ameona ni bora amuongezee mkataba mpya kwa matumaini siku za mbeleni (pengine dirisha lijalo) klabu itafaidika na biashara yake kama ilivyokuwa kwa ashley young na pengine mbeleni phil jones au chris smalling kama roma watakuwa tayari kutoa fedha.

au chris smalling anaweza kubaki kwa sababu hana takwimu mbovu za kiafya huku eric bailly akionyeshwa mlango wa kutokea dirisha lijalo, sababu nyengine inayoweza kupelekea kubaki kwa smalling ni klabu kutokuwa tayari kuingia sokoni kutafuta mlinzi mwengine kwa gharama kubwa.

kwa ufupi laiti kama ed woodward angelikuwa na hesabu kama hizi kwenye ishu za usajili wa wachezaji tunaowatamani basi tungelikuwa tupo mbali sana kiubora.

ed woodward alifeli kwenye ya ishu ander herrera ambaye aliondoka bila ya klabu kufaidika chochote.
==============================
safari njema ashley young, tulikusajili nyakati ambazo hukuwa tena kwenye ule ubora wako nilioushuhudia pindi ulipokuwa wattford na aston villa ya martin oneill ila bado uliendelea kuipigania klabu kwa jasho lako lote.
 
Yeah...... Tukikaa vibaya na kwa Bruno tutajuta hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mara ya kwanza nimeangalia highlight za bundesliga msimu huu kwa sababu ya huyo haaland.....
pale borussia amezungukwa na thorgan hazard, fundi jadon sancho na marco reus.

kwa hii style ya uchezaji wa haaland kama atakuja manchester united hii ya nyakati hizi tungelikuja kumtukana bure ed woodward, ole na haaland mwenyewe.

utofauti mkubwa uliopo kati ya greenwood na haaland ni kwamba mmoja wao kila timu anayokwenda anakutana na wachezaji wanaojua kumhudumia mshambuliaji.

niliwahi kuandika humu ndani ya kwamba mason greenwood amezungukwa na wachezaji vilaza ndio maana tunaogopa kumuingiza moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza...

greenwood kiufungaji anamzidi hata yule dogo wa barcelona mwenye thamani ya paundi millioni 40...
utofauti wao unabaki pale pale kwenye kupewa huduma stahiki (mwenzake amezungukwa na messi, griezmann, suarez, de jong n.k)

man utd hii inahitaji mshambuliaji anayejitafutia huduma mwenyewe mfano wa kylian mbappe, sergio aguero, carlos tevez, wayne rooney, luis suarez na karim benzema.

greenwood anajua kujiweka kwenye maeneo ya hatari kuliko mshambuliaji yeyote tuliyenaye.
imagine huduma zile anazozipata yesu wa manchester city aliyezungukwa na debruyne, sterling, mahrez, silva brother zimgeukie mason greenwood.

licha ya kuwa na uhaba wa washambuliaji ila kuikosa huduma ya haaland hakujanichukiza.
 
Waingereza ni trash.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…