Binafsi naamini Man Utd ni watu wenye uwezo wa kubattle kwenye transfer market, kama kocha akiamua kuwa strict kwamba namhitaji huyu na huyu ili nifanye vizuri ni very obvious kwamba atapewa wachezaji hao.
Changamoto kwa coaches ambao hawaja prove ni kujaribu kubalance mahesabu kwa kununua low price players ili akinunua kama 6 watatu wakafanya vizuri basi anakuwa pressure siyo kubwa.
Tulikutana na case ya namna hiyo kwa Brendan Rodgers, baada ya kumuuza Suarez, badala ya kutafuta mchezaji wa caliber ya Suarez alienda kuzoa kina Balloteli, Rickie Lambert, Can, Lallana, Danny Ings, Lazar Markovic, Moreno nk. Kati ya zaidi ya 18 aliowanunua baada ya Suarez kuondoka ni Gomez, Firmino na Milner ndo wamekuwa regulars first eleven. Which is poor rate.
Proven coaches ana demand mchezaji mmoja wa bei, ambaye anajua atabeba timu, na iki-backfire, ni in course of business. Ndo maana Klopp aliweza kutoa 75m kwa VVD, then 60+ kwa Alisson, and they have turned out to be the best. Wakati hiyo 140 Rodgers angenunua magarasha kama 8 hivi.
OGS bado sana, na ninaweza kusema hakuna atakapoipeleka hii timu, hana command.
Kwa maneno haya, naona kabisa OGS anajaribu kucheza na akili zetu kama alivyofanya last time.
Mwambieni tunaijua janja yake, we will prepare ourselves as if Rashford will be in.
Rashford kweli mgonjwa hata mech ya wolves ilimshinda wakat maguire alimaliza mech kama rashford akicheza basi sindano kapigwa za kutosha
DeGea sio kiongozi uwanjani.Duh kaptain mpya mechi ya kwanza anacheza na Liverpool kweli noma ila kwa mimi nafikiri alistaili Degea hiyo nafasi
Inaonesha unamkubali sana BIG VIRGIL Mkuu yule beki wako mzito kama kiroba cha chumvi vipi hakutoshi.Game ya mwisho dhidi ya Liverpool, jamaa anaangalia kama mshika kibendera atasaidia View attachment 1326545
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sisi tunashindwa kuwashawishi watupe Lautaro Martinez.Hizi biashara kichaa za man u.Hivi tuna urafiki gani na Inter ndani ya miezi 5 washachukua wachezaji wetu watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tuna urafiki gani na Inter ndani ya miezi 5 washachukua wachezaji wetu watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dili la BF limefikia wapi?Hamuoni kama wanatusaidia, mlitaka Sanchez aondoke wakamchukua, mkawa mnasema Youngy kaishachoka naye wamemchukua, mnataka nini tena?
Au mpaka wamchukue Jones na Lingard ndio mtaridhika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu leo Tottenham kama kaonewa na VAR au nyie mnaonaje, si goli hili?View attachment 1326835
Sent using Jamii Forums mobile app
Mc cane
Naona chalii yako Erling Haaland kafunga hat trick yake ya kwanza Bundesliga dhidi ya Augsburg.